emanuel kiwonyi
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 437
- 641
Unajua mkuu haya mambo ni magumu sana ukiangalia haya mambo yanaanzia kwenye ngazi za juu na hawa waliofanya mauaji inawezekana imetolewa odar kafanyeni ivi na huku nyuma Kuna watu wakubwa wanasaport angalia clip ya lema kwenye msiba marehemu hajatekwa na majambazi na nukuu maneno ya lema na akimwambia waziri kwenye msiba haya mambo ni magumu sana yanauma lakini ukweli wanaujua waoYule waziri, wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.