TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Yule waziri, wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
Unajua mkuu haya mambo ni magumu sana ukiangalia haya mambo yanaanzia kwenye ngazi za juu na hawa waliofanya mauaji inawezekana imetolewa odar kafanyeni ivi na huku nyuma Kuna watu wakubwa wanasaport angalia clip ya lema kwenye msiba marehemu hajatekwa na majambazi na nukuu maneno ya lema na akimwambia waziri kwenye msiba haya mambo ni magumu sana yanauma lakini ukweli wanaujua wao
 
Sasa roho zao zimefurahi nafsi zao zimeridhika kukuona ukiwa mwili mtupu usio na pumzi,Hujawahi kuwatendea baya lolote,kosa lako ni kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Tutakutana tena Mbinguni Kamanda.😭😭😭
Eti mnazo dino nyie wauaji.Ijumaa,jmamos na jumapili mmejazana kwenye nyumba za Ibada huku roho zisizo na hatia zikiwalilia damu zao zikiwa mikononi mwenu ninyi wauaji.Pumzika kwa Amani Bao hakuna atakayeilinda Dunia Sote tunapita.
 
IMG_0009.jpeg
 
Attachments

  • IMG_0013.jpeg
    IMG_0013.jpeg
    69 KB · Views: 3
Polisi wakifanya kwa weledi na kuto ahirisha kufikiri kwa akili za kizalendo, naamini hawawezi kushindawa tuwe na subira tusiunganishe nukta, maana wahalifu wamo humu wanaweza zichezea hizo nukta, (codes), mnazo jaribu kuziunganisha, they can log out and disappear
Acha ujinga ,hamna cha code wala bibi yake na code , polisi ,TISS na jwtz wana task force ya kuteka watu na kuwapoteza kwa maslahi ya ccm .
Hii ya kujiumauma ni upumbavu tu na uoga wa kishamba na unafiki wa watanzania ,kwanza huyo masauni jana wangemfumua mawe .
Nchi hii hamna kinachotekelezwa na vyombo vya dola bila maelekezo toka executive branch ya serikali ambayo iko chini ya ccm ,
 
je umekisoma na kuelewa nilichokiandika kuchelewa kujua siyo ujinga, ujinga ni kutotaka kujua, (kujifunza), am not closed.
minded, siwezi kufikiri inavyotaka wewe.

Mnapoteza muda kuilaumu serikali wakati mnaishi kwenye jamii mfu, (silent society), ya bora liende yaani mnapokea chochote hata kama hakina tija kwenye jamii, jamii ambayo imeamua kuendesha maisha yake kwa kuahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data. Na kuto kuhoji kwa sauti kwasababu tumeandaliwa kuto kuhoji tatizo la kuhoji linaanza kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukivihoji utaambiwa kama umekua uondoke

Silent society, (slence surrenders public responsibility). Unyumbu ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki). Yaani kuahirisha kufikiri kizalendo, hadi wanaenda maporini kuchimba dawa

Tafadhali kama una akili na siyo mjinga kama mimi nipe jibu kwanini baadhi ya mnao wapa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi halafu mnakubali wawaongoze, wakati mmeshagundua kwamba wanaahirisha kufikiri kizalendo. Sorry for my over reaction
 
Amejisemea YEYE huko Kagera....

Akueleze wapi alitumwa na UVCCM TAIFA kusema maneno hayo....

Mtu anaweza kujisemea lolote popote AKIAMUA....

Ni sawa na yule askari polisi "mlevi" aliyekuwa anatoa maneno ya hovyo akiwa ulevini na uniform...kwani alitumwa na jeshi kufanya vile ?!![emoji44][emoji44]

Kwani alikuwa analisemea jeshi pale ?!! [emoji44][emoji44]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Inawezekana ni tip in iceberg
Siwamini ccm.
 
Uchunguzi tulioufanya kwa macho na Masikio yetu ni kwamba, hata wale Chawa wanaoishi kwa kumsifu tu, tangu mauaji yale ya kishamba, Wameufyata, kule mitandoni wanakokesha kumtukuza hawapo tena! ( Hata nyinyi mnawajua )

Unajua hata ungekuwa na njaa kiasi gani, yako mambo mabaya ambayo mfadhili wako akifanya unajikuta Aibu inakupata tu, kuna ubinadamu ambao hata Chawa wanao, kwahiyo hata wewe kama unawalipa lakini ukiboronga wanarudi nyuma na kuona Aibu.

Ngoja tuone mpaka uchaguzi atabaki na % ngapi.
 
Ila Watanganyika wavumilivu (wajinga) sana.
Imagine woman from far away anakuja kuwatawala na wanakubali.
Kama kuna mtu atasema uongo hatoki far away basi na yeye apeleke pua lake akagombee Usheha kwenye uchaguzi ujao aone moto wa huko far away.
Jamaa nawapenda sana, wamekosa elimu wamepata akili.
 
Kuna chawa mmoja humu ukimpiga spana huwa anatishia kwamba ni Afisa wa Serikali toka jumapili sijamuona akianzisha uzi zaidi ya kuona reaction yake kwa Kijana wa kububujikwa machozi. We are all humans na tuna mioyo wakati mwingine hata kama ni Chawa au Kunguni nafsi itakusuta tu.
Hakika
 
Uchunguzi tulioufanya kwa macho na Masikio yetu ni kwamba, hata wale Chawa wanaoishi kwa kumsifu tu, tangu mauaji yale ya kishamba, Wameufyata, kule mitandoni wanakokesha kumtukuza hawapo tena! ( Hata nyinyi mnawajua )

Unajua hata ungekuwa na njaa kiasi gani, yako mambo mabaya ambayo mfadhili wako akifanya unajikuta Aibu inakupata tu, kuna ubinadamu ambao hata Chawa wanao, kwahiyo hata wewe kama unawalipa lakini ukiboronga wanarudi nyuma na kuona Aibu.

Ngoja tuone mpaka uchaguzi atabaki na % ngapi.
Kuna chawa andazi mmoja humu na nduguye Tlaatlaah wapo bize kupangua tuhuma za Hangaya.

Jamaa wanalipwa vyema sana
 
Watanzania sijui tulipumbazwa na zindiko gani.

Katika hali ya kawaida huyu Bi. Mkubwa ilipaswa awe kijijini muda huu akiangalia bata na kuku wakijamiiana.

Hii nchi imemshinda vibaya mno. Lakini cha ajabu tulivyo keyboard warriors, tunabwabwaja na ma fake id halafu tunaendelea na maisha kama hakuna lililotokea.

Akipanda jukwaani kuhutubia haonyeshi remorse yeyote, zaidi ya kumwaga mikejeli.
 
Uporokwe ye kahusika wapi?Hii uhuni mnaweza kuwa mmefanya wenyewe kwenye hiyo saccos yenu.
Na km ni kwa chama twawala itajulikana ni muda tu
 
Uporokwe ye kahusika wapi?Hii uhuni mnaweza kuwa mmefanya wenyewe kwenye hiyo saccos yenu.
Na km ni kwa chama twawala itajulikana ni muda tu
Naamini ingekuwa ni Mzee wako ndio kauliwa dakika hii ungekuwa unashtumu mpaka sisimizi. Ila kwa vile hakuhusu basi unapayuka tu kama uharo wa kiporo kilicho chacha.

Hili jambo ni kubwa kuliko siasa, ni swala la uhai wa watu. Japo unajihisi upo salama ila hakuna alie salama.
 
Back
Top Bottom