TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

1. Ma-Bus mengi ya abiria kwa sasa yana Camera, papo pa kuanzia, kama vyombo vya sheria vitaingia kigugumizi kung'amua hili, jamii sasa iwahukumu wadharimu ambao kwa dhahiri nyuso zao zitakuwa zimeonekana kwenye camera za bus au kwa mtu yyt ambaye aliweza kunasa tukio hili.

2. Polisi kujitoa kwenye hili ni dhahiri wanatakiwa kujua chombo kipi kwa mamlaka yapi wanaweza tumia namba zao za magari, after roll Namba ya gari la Polisi itakuwa ilionekana wazi, papo pa kuanzia.

IFIKE MAHALI TUSEME INATOSHA!!
 
Sio Jamii sema wewe ndo humjui..
Kwa sababu una mvua mbili mjini
 
Kwanza Hata hivyo mtu anatekwaje mchana wananchi wanaangalia kama kondoo kwanini hawakumsaidia??? Huwa naona Nyumbu kwa umoja wao wanamuogopa simba mmoja anawaua lakini kuteka mtu mchana kweupe kwann wananchi wasikate hili hapana kama nyie ni askari twendeni kituoni.Hii ni ujinga kabisa kabisa.Mimi mkija ama mniue hapo hapo au tumalizane ila hamuondoki na mimi mkaniulie huko mseme hajulikana shenzi sana mmezoea kumanina zenyu.
 
Katika vitendo vya utekaji vinavyoendelea ambavyo vinafanywa na Jeshi la Polisi huwezi mtoa Bichwa Tofali na Saa 100.

Bichwa Tofali anatesa, jeruhi na kuua watanganyika kumlinda mzanzibari mwenziye.

Kwa ufupi: Wote wanahusika (wanafahamu na wanaunga mkono).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…