Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Ma-Bus mengi ya abiria kwa sasa yana Camera, papo pa kuanzia, kama vyombo vya sheria vitaingia kigugumizi kung'amua hili, jamii sasa iwahukumu wadharimu ambao kwa dhahiri nyuso zao zitakuwa zimeonekana kwenye camera za bus au kwa mtu yyt ambaye aliweza kunasa tukio hili.Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
View attachment 3090046
View attachment 3090047
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.
Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.
ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.
Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote, anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.
Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.
Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha, wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima, mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.
Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.
Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1. Dioniz Kipanya 2. Kombo Bwana Twaha 3. Godwin Mlay 4. Deusdedith Soka 5. Frank Mbise.
Boniface Jacob
Ex-Mayor
0712 239 595
Hivi mnavyosema wananchi kujilinda wenyewe mnamaanisha nini?Wananchi wajilinde wenyewe maana serikali imeshindwa au inahusika kuuwa watu wake. Sheria mkononi
Kujiuzulu hawawezagiMasauni ajiuzulu au achomolewe kinguvu?
Sio Jamii sema wewe ndo humjui..Acheni kuchezea maisha ya watu
Mnatengeneza mazingira ya wazi kabisa
Kwenda kupoteza maisha ya watu
CCM na serikali Ina sababu gani ya kumteka mtu ambae hata jamii haimjui.
Kila ukiambiwa Samia CDM sio watu wazuri uelewi somo.
Inasikitisha sana huu uhuni wa CDM ifike hatua serikali iache kumchekeq muuaji Mbowe na genge lake
Kwanza Hata hivyo mtu anatekwaje mchana wananchi wanaangalia kama kondoo kwanini hawakumsaidia??? Huwa naona Nyumbu kwa umoja wao wanamuogopa simba mmoja anawaua lakini kuteka mtu mchana kweupe kwann wananchi wasikate hili hapana kama nyie ni askari twendeni kituoni.Hii ni ujinga kabisa kabisa.Mimi mkija ama mniue hapo hapo au tumalizane ila hamuondoki na mimi mkaniulie huko mseme hajulikana shenzi sana mmezoea kumanina zenyu.Kama MTU anatekwa Katikati ya mji, kitovu cha Nchi! Anauwawa na mwili wake unatupwa Jirani tu hapa, je tuko salama kama Nchi?? Who's next? Tunajuaje usalama WA VIONGOZI wetu kama upo? Ununio na magogoni sio mbali, ununio kuna VIONGOZI wakubwa Sana wanaishi huko, je usalama wao ukoje?? Haya wacha tuone who's next....
Hivi kwanini tusiungane kupinga uharibifu huu?Sikujua kama hali ndio imekua mbaya kiasi hiki kwa kweli
Yule bibi ni mbaya kuliko JPMJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Katika vitendo vya utekaji vinavyoendelea ambavyo vinafanywa na Jeshi la Polisi huwezi mtoa Bichwa Tofali na Saa 100.Yule waziri mwenye mashavu kama mimba ya panya,wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
R.I.P JPM ulikua unasingiziwa sana. Ona sasa watu wanaendelea kuokotwa wameuwawa ila wala Rais hatajwi kwenye mauaji hayo