TigerBarMingoi
Senior Member
- Mar 28, 2024
- 148
- 219
MTANIKUMBUKA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubaya sanaThis is sad. Tunaelekea wapi kama taifa.
IndeedKubaya sana
Unaikumbuka movie ya James bond inaitwa licence to kill
Ova
Ilikua kauli ya ajabu sanaana uso wa kiungwana kumbe moyoni ni lishetani.
Umenena vizuriHebu watanzania tuamke huo usingizi wa pono. Watu kila leo wanatekwa, wanauwawa na tunasoma, tunakemea kwa kuandika halafu imeisha. Iko siku itakuwa ni mtu wako wa karibu, damu yako toka nitoke.
Hawaachi sababu wanajua hakuna cha kuwafanya. Mpaka uchaguzi uishe, mmeshajiuliza watapotea wananchi wangapi, watakufa wangapi?
Why mnafanya haya? Kupoteza maisha ya watu, wasio na hatia sababu ya siasa? Ulaji? Kuna mtu ataishi hata miaka 200? Mnalalaje usiku ikiwa unajua, umetoa amri ya kuuwa mtu asiyeweza hata kushika kisu kukudhuru?
Hii nchi ni ya kila Mtanzania, kila mtu ana haki ya kufanya chochote, popote bila kuvunja tu sheria. So msijifanye ni ya kakikundi fulani. Leo hawa watu wako kimya, siku wakiamka hamtaamini kama ni hawa. Damu za watu zikawafate kila mlipo na vizazi vyenu mpaka vya mwisho.
Upumzike mahala pema Mzee Mohammed Kibao.
Kuna genge la wahusika serikalini?!Magufuli alisha ustikia huu mchezo.
Kuna kijana CDM Mbeya uchaguzi uliopita walimteka hivi hivi na kumpotezea maisha yake.
Ikabidi Magufuli akaombe msamaha kwa ile familia na kuwapa pole (Lakini hela) aifidii maisha ya mtu.
Chadema na genge lenu la wahusika huko serikalini acheni huu ushenzi. Ushindi aupatikani kwa njia hizi za udhalimu.
R.I..P
Hapa issue siyo waziri. Yote haya yanafanyika kwa maagizo toka juu, unategemea waziri atapingana na maagizo hayo??Yule waziri ,wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
Yeye anasema ni drama tuEhee.kule kule kwa jana.
Samia sijui kama ana swali sala 5.hana hofu ya mungu. Nchi ishamshinda