TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Jinga sana, kama sio yeye atoke maana ameshindwa kumuwajibisha hata mmoja,
Saa hizi ilibidi waziri wa mambo ya ndani na IGP wake wawe wanacheza na wajukuu sebuleni kwao zamani

Oysterbay imetajwa mara ngapi, ila hata kusikia mkuu wa kituo kajiuzulu hakuna, yeye asipowawajibisha utaachaje kusema anahusika
 
Raia hawana umoja, wana umoja kwenye mambo ya kijinga, yanga na simba , udaku. Just imagine

Kuna devide and rule kubwa mno kwenye jamii
Basi kila mtu ajue kuwa hayupo salama.
Na mtu asije akajidanganya kuwa hayumo kwenye siasa kuwa ndo atabaki salama hatotekwa haipo ivo
Unaweza ukakosana na mtu uko ata kwenye biashara zenu akatumia watu wakaja kukuteka kizembe kabisa.
 
Wewe unajuaje nani kauwa?

Kwanini uhitimishe kwa kupitia mob justice bila ya kutaka details.

Wewe ndio huna akili
Kumbe hata uwezo wa kusoma kwa ufahamu pia ni mdogo!

Najuaje nani kaua kivipi wakati nimetoa wito kwa jeshi la polisi lifanye kazi yake kwa CDM kama ndugu mchambuzi ulivyoelekeza kwenye comment zako zote.
 
Kwa nje wanaoteka na hatimae kupatikan watu wakiwa maiti inaweza kuonekana kama watu wenye nia ya kunyamazisha upinzani kwa faida ya chama tawala na raisi aliyepo madarakani.
Kwa uzoefu wangu watu hao ni majambazi ambayo yana nia mbaya na raisi.Wito raisi Samia awe makini sana kipingi hiki kuelekea uchaguzi.
Nimeubia mdomo wangu ukome na vidole vya kutaipu vishikwe na gazi. Inaumiza sana.
 
Kwa nje wanaoteka na hatimae kupatikan watu wakiwa maiti inaweza kuonekana kama watu wenye nia ya kunyamazisha upinzani kwa faida ya chama tawala na raisi aliyepo madarakani.
Kwa uzoefu wangu watu hao ni majambazi ambayo yana nia mbaya na raisi.Wito raisi Samia awe makini sana kipingi hiki kuelekea uchaguzi.
Basi tuseme usalama umefail mana haya mambo kwa asilimia kubwa yanafanyika kwenye Jiji kubwa kibiashara na kiusalama
 
Vina muda basi,Mungu siyo mjomba kama wenye madaraka wanavyofikiri,pamoja na madaraka yao makubwa waliyonayo ,Bado yupo mwenye madaraka makubwa zaidi.Nakama alivyoamua kwa busara ugomvi wa miaka mitatu iliyopita ataamua na huu pia.
 
Yule waziri ,wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
Comments zako zinaonyesha una low oQ
Hili jambo ni serikali yote imebariki maana yake limebarikiwa kwenye cabinet , wazi ni mdogo kwenye hili jambo
 
Back
Top Bottom