Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kila mtu ajue kuwa hayupo salama.Raia hawana umoja, wana umoja kwenye mambo ya kijinga, yanga na simba , udaku. Just imagine
Kuna devide and rule kubwa mno kwenye jamii
Nani kwenye nchi hii mwenye uthubutu wa kublock gari tena basi la abiria kushusha mtu na kuondoka nae? Aibu kwa serikali ya CCMKuna tatizo kubwa katika Taifa letu.
Hatuko salama tena.
Kumbe hata uwezo wa kusoma kwa ufahamu pia ni mdogo!Wewe unajuaje nani kauwa?
Kwanini uhitimishe kwa kupitia mob justice bila ya kutaka details.
Wewe ndio huna akili
Nimeubia mdomo wangu ukome na vidole vya kutaipu vishikwe na gazi. Inaumiza sana.Kwa nje wanaoteka na hatimae kupatikan watu wakiwa maiti inaweza kuonekana kama watu wenye nia ya kunyamazisha upinzani kwa faida ya chama tawala na raisi aliyepo madarakani.
Kwa uzoefu wangu watu hao ni majambazi ambayo yana nia mbaya na raisi.Wito raisi Samia awe makini sana kipingi hiki kuelekea uchaguzi.
Basi tuseme usalama umefail mana haya mambo kwa asilimia kubwa yanafanyika kwenye Jiji kubwa kibiashara na kiusalamaKwa nje wanaoteka na hatimae kupatikan watu wakiwa maiti inaweza kuonekana kama watu wenye nia ya kunyamazisha upinzani kwa faida ya chama tawala na raisi aliyepo madarakani.
Kwa uzoefu wangu watu hao ni majambazi ambayo yana nia mbaya na raisi.Wito raisi Samia awe makini sana kipingi hiki kuelekea uchaguzi.
Comments zako zinaonyesha una low oQYule waziri ,wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.