Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulizwe wenyeweHivi mtumishi wa umma hasa askari haruhusiwi kuwa mwanachama wa chama cha upinzani?
Issue ni kuwa rais amenyamaza kimya as if anawatuma yeyeHakuwa hivyo, basi tu. Mambo kama haya ndio yanazalishaga waasi kwenye nchi.
Tujuze Nini ameandika si wotote tuko xMods wacheni tutoe tahadhari ili kama wana masiko, basi na wasikie.
Wiki kama mbili zilizopita, yule dada maarufu anaeshi nchini marekani, aliandika katika mtandao wa X makala ndefu ila yenye maneno makali na matusi mazito juu ya kiongozi fulani kiasi yanayoendelea hapa nchini.
Nilikuwa nasoma na kusisimka, ila kwa tukio hili la leo, siwezi kusisimka tena hata aandike nini.
Nimalizie kwa kusema , kwa haya yanayoendelea, huyu dada sitashangaa akaja na makala nyingine mbaya zaidi na akapata uungwaji mkono mkubwa zaidi.
Anyway, Mungu ana makusudi na kila jambo.
Kinachosikitisha zaidi anaepaswa kukemea anasema ni maigizo.Kubaya sana
Unaikumbuka movie ya James bond inaitwa licence to kill
Ova
Kila raia ajiinde yeye mwenyewe.Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
View attachment 3090046
View attachment 3090047
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.
Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.
ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.
Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote, anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.
Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.
Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha, wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima, mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.
Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.
Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1. Dioniz Kipanya 2. Kombo Bwana Twaha 3. Godwin Mlay 4. Deusdedith Soka 5. Frank Mbise.
Soma Pia:
Boniface Jacob
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
Ex-Mayor
0712 239 595
Muda utaongea!!Aisee! Dah! Hiki ni nini kinaendelea hapa tanzania au wanatoa ujumbe gani
Unaonekana unatafuta mtu wa kukuf!ra
Mwezenu kina nani ? Ofcourse mimi kama mtanzania na binadamu; binadamu mwenzangu akipatwa na majanga ni mwenzangu..., nakushangaa wewe ambaye unaona mtu sio mwenzako sababu ya itikadi; nachelea kusema ndugu yangu unapotoka...Kwa sababu ni mwenye jina na mwenzenu ndio maana mnaongea sana ila sijaona yeyote akitetea watu wasio na sauti huko mtaani.
Kila mtu apambane kivyake Sasa
Kamwe damu ya mtu haiendi bure. Inamlilia muuaji, wauaji, na wale wote wenye mamlaka juu usalama wa watu.Dkt Samia Suluhu Hassani haya yanayifanyika kwenye nchi hii waona mazuri? Hili halikubaliki siyo kwa mtu mwenye utu uwe CHADEMA, CCM,ACT-WAZALENDO ili jambo ni lakinyama sana.
Siyo kazi wameshindwa ,hii kazi wanafanya wao wakishirikiana na vikosi vya mauaji vya TISS , kama mlifuatilia ile sheria mpya iliyopitishwa ya kuwalinda watu Wa TISS dhidi ya kushitakiwa mwaka jana ,ile ilikuwa ni maandalizi ya kinachoendelea sasa hivi .IGP na jopo lake wajitafakari naona kazi wameshindwa kabisa. Kila siku vifo, watu kutekwa, kuuawa na kupotea.
Tunaelekea wapi?
eheeSasa utani gani hapo nimeweka?
Kusema mnatekana wenyewe nina maana yangu. Hivi kwa akili ya kawaida wewe ukiwa rais unaweza kuteka watu ili ujiharibie jina lako?
Basi hata ungeniuliza swali nikajibu. Huwezi jua mimi nilifikiri kwa upande gani ndio maana ya mdahalo