KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
The Butcher of Kizimkazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza au unapigia jibu mstari? Hujui kwanini ilipitishwa sheria mpya ya usalama wa taifa? Hujui kuwa wameruhusiwa kuteka na kuhukumu kwa maslahi ya taifa? Hujui kuwa sheria ile ilikuwa ni kwa ajili ya kupambana na wapinzani wa serekali hasa cdm?Hivi huyu Samia ndo anawatuma hawa askari kuuwa watanzania?
Hapana, mwili wa marehemu upumzishwe.Dkt Samia Suluhu Hassani haya yanayifanyika kwenye nchi hii waona mazuri? Hili halikubaliki siyo kwa mtu mwenye utu uwe CHADEMA, CCM,ACT-WAZALENDO ili jambo ni lakinyama sana.
Mda upi ni lini mtakua mmeishakuna mda utafika qmmqe tutaelewana ipi sku watanzania watafanya kweli halafu pakinuka kuweka mambo sawa itakua vigumu sana
Solution ni kwa wananchi wote kuamua kuingia street na kufanya mass protests na civil disobedience kuwang'oa madhalimu toka madarakani , hamna cha maana zaidi ya hilo ,Ajabu wote mlioko hapa mnaishia kulaani tu badala ya kutoa neno nini kifanyike kukomesha huu udhalimu;
Mnatokwa mapovu Kwa sababu ni mwenzenu huko Chadema na ana jina ila watu wa kawaida hakuna anaewatetea.Mwezenu kina nani ? Ofcourse mimi kama mtanzania na binadamu; binadamu mwenzangu akipatwa na majanga ni mwenzangu..., nakushangaa wewe ambaye unaona mtu sio mwenzako sababu ya itikadi; nachelea kusema ndugu yangu unapotoka...
By the way sina chama cha siasa Tanzania kwangu mimi ninayeendeshwa na ideologia practically sioni tofauti ya Vyama vyote Nchini
Unaonesha wazi una roho ya kichawi.Mnatokwa mapovu Kwa sababu ni mwenzenu huko Chadema na ana jina ila watu wa kawaida hakuna anaewatetea.
Kwa kua rais ndiye amiri jeshi mkuu naye yapaswa akae kando maana yote haya yanatokea chini ya utawala wake. Itoshe kusema kiusalama ame underperform kiwango kisichopimikaDkt Samia Suluhu Hassani haya yanayifanyika kwenye nchi hii waona mazuri? Hili halikubaliki siyo kwa mtu mwenye utu uwe CHADEMA, CCM,ACT-WAZALENDO ili jambo ni lakinyama sana.
RIP Shujaa MagufuliSalary Slip kwani huyu baba waliyemuua alikuwa msemaji sana wa kuipinga serikali?