TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Hivi huyu Samia ndo anawatuma hawa askari kuuwa watanzania?
Unauliza au unapigia jibu mstari? Hujui kwanini ilipitishwa sheria mpya ya usalama wa taifa? Hujui kuwa wameruhusiwa kuteka na kuhukumu kwa maslahi ya taifa? Hujui kuwa sheria ile ilikuwa ni kwa ajili ya kupambana na wapinzani wa serekali hasa cdm?
 
kuna mda utafika tutaelewana ipi sku watanzania watafanya kweli halafu pakinuka kuweka mambo sawa itakua vigumu sana
 
Mwezenu kina nani ? Ofcourse mimi kama mtanzania na binadamu; binadamu mwenzangu akipatwa na majanga ni mwenzangu..., nakushangaa wewe ambaye unaona mtu sio mwenzako sababu ya itikadi; nachelea kusema ndugu yangu unapotoka...

By the way sina chama cha siasa Tanzania kwangu mimi ninayeendeshwa na ideologia practically sioni tofauti ya Vyama vyote Nchini
Mnatokwa mapovu Kwa sababu ni mwenzenu huko Chadema na ana jina ila watu wa kawaida hakuna anaewatetea.
 
hii nchi ngumu sana

Screenshot 2024-09-08 115057.png
 
Dkt Samia Suluhu Hassani haya yanayifanyika kwenye nchi hii waona mazuri? Hili halikubaliki siyo kwa mtu mwenye utu uwe CHADEMA, CCM,ACT-WAZALENDO ili jambo ni lakinyama sana.
Kwa kua rais ndiye amiri jeshi mkuu naye yapaswa akae kando maana yote haya yanatokea chini ya utawala wake. Itoshe kusema kiusalama ame underperform kiwango kisichopimika
 
Back
Top Bottom