TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Unauliza au unapigia jibu mstari? Hujui kwanini ilipitishwa sheria mpya ya usalama wa taifa? Hujui kuwa wameruhusiwa kuteka na kuhukumu kwa maslahi ya taifa? Hujui kuwa sheria ile ilikuwa ni kwa ajili ya kupambana na wapinzani wa serekali hasa cdm?
Nguvu ya umma ikisimama hawawezi
 
Tumekuwa makondoo sana , tunaona mwenzetu anatekwa na sisi tunaona kawaida bila kuchukua hatua , hao wahuni ilibidi wabanwe waonyeshe vitambulisho na warrant ya mahakama ya mtu kukamatwa na waje na sare kamili za polisi na ikiwezekana watu kadhaa wawafuatilie na kuhakikisha huyo aliyekamatwa amepelekwa na kuingizwa kituoni na si vinginevyo ,hii ya wapuuzi tu wanakuja na kuteka watu na kujiongezea kwamba ni polisi au usalama hivyo wapigiwe kelele za wezi na wapigwe na kuchomwa moto kama majambazi au wezi wengine mitaani wanavyofanyiwa au mtu anayekamatwa naye ajihami kivyovyote na kuhakikisha hakamatwi , .

Kuna arrest procedures na zinajulikana , aisee watz tuache ukondoo
Kama mtu anatekwa kati kati ya umati wa watu huku raia wakikodoa macho tu kama wapo cinema vile hii tabia itaendelea kuwepo tu.

Kinachotakiwa raia ni kuwa na umoja t hakuna kuondoka na mtu kienyeji namna iyo.
 
Dah!!
Binadamu kweli tumefikia hatua hii..... kweli uchu na uroho wa madaraka ndio umeifanya mioyo yetu kuwa migumu kiasi hiki......

Yaani unautoa uhai wa binadamu mwenzako kisa amali za ulimwengu ambao hata hujui kama utaiona kesho yake....
 
Tumekuwa makondoo sana , tunaona mwenzetu anarejea na sisi tunaona kawaida bila kuchukua hatua , hao wahuni ilibidi wabanwe waonyeshe vitambulisho na warrant ya mahakama na waje na sare kamili za polisi na ikiwezekana watu kadhaa wawafuatilie na kuhakikisha huyo aliyekamatwa amepelekwa na kuingizwa kituoni na si vinginevyo ,hii ya wapuuzi tu wanakuja na kuteka watu na kujiongezea kwamba ni polisi kabisa kinyume na hivyo wapigiwe kelele za wezi na wapigwe na kuchomwa moto kama majambazi au wezi wengine mitaani wanavyofanyiwa .

Kuna arrest procedures na zinajulikana , aisee watz tuache ukondoo
Nakubaliana na wewe
 
Mnatokwa mapovu Kwa sababu ni mwenzenu huko Chadema na ana jina ila watu wa kawaida hakuna anaewatetea.
Moja mimi sio CHADEMA
Mbili kwa wewe kuongelea Chama cha Mtu badala ya kusikitika na kukemea yalimyomkuta inaonyesha ni vipi wewe hauna tofauti na hao unawashutumu...

Kwa kumalizia inaonyesha wewe na hao unaowashutumu nyote ni part of the problem (ila binafsi natetea yoyote mwenye shida na kukemea lolote ambalo halipo sawa)

Ndio maana kuna siku nilisema....

 
Ajabu wote mlioko hapa mnaishia kulaani tu badala ya kutoa neno nini kifanyike kukomesha huu udhalimu;
muda si mrefu , ccmu wanawakaribisha warmongers kwa kuweka mazingira rafik kwa wahuni kujipenyeza kwenye jamii
 
Kwa nje wanaoteka na hatimae kupatikan watu wakiwa maiti inaweza kuonekana kama watu wenye nia ya kunyamazisha upinzani kwa faida ya chama tawala na raisi aliyepo madarakani.
Kwa uzoefu wangu watu hao ni majambazi ambayo yana nia mbaya na raisi.Wito raisi Samia awe makini sana kipingi hiki kuelekea uchaguzi.
Sasa rais mwenyewe mbona yupo kimya? Hivi unaijua intelejensia ya TZ? Nakwambia hao watu waliomuua Ally Kibao wangekuwa nje ya system siku hiyo hiyo wangekwisha dakwa....kama waliweza kumshika maana walikuwa bare hands ,mwili wake uchunguzwe finger prints waende kuzioanisha na Database ya NIDA ili itoe wauaji.....Ndugu zake waombe uchunguzi huru kutoka vyombo nje ya watuhumiwa wafanya forensic.
 
....kwambaaa tukimwombaa Munguu dua atasikiaaaaaa

usinipiteee mwokozi. Uniskieeee

Unapozuru wengine usiniiipiteeee

eee Yesuuuu eee Yesuuu naombaaa unisikieeeee unapozuru wengineee unisikieeeeemaombi yangu kwa Mungu asikupiteeee

damu ya Yesu ikawafunike wote
 
Back
Top Bottom