Aristotle J8
Member
- May 29, 2021
- 77
- 95
Nawaza mara mbili mbili nini sababu?
Au kunalililonyuma ya hili?
Au kunalililonyuma ya hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila kitu unaweza ku-share humu ndugu yangu.Tujuze Nini ameandika si wotote tuko x
na huku ndo tunaelekea , ccmu wanataka kutuingiza shimonNdugu jamaa na marafiki wa wahanga wakiamuwa kulipa kisasi je tutamlaumu nani?
Nguvu ya umma ikisimama hawaweziUnauliza au unapigia jibu mstari? Hujui kwanini ilipitishwa sheria mpya ya usalama wa taifa? Hujui kuwa wameruhusiwa kuteka na kuhukumu kwa maslahi ya taifa? Hujui kuwa sheria ile ilikuwa ni kwa ajili ya kupambana na wapinzani wa serekali hasa cdm?
Kama mtu anatekwa kati kati ya umati wa watu huku raia wakikodoa macho tu kama wapo cinema vile hii tabia itaendelea kuwepo tu.
Kinachotakiwa raia ni kuwa na umoja t hakuna kuondoka na mtu kienyeji namna iyo.
Mama anaupiga umwingi...Anita Makirita nilikwambia ukienda haurudi ukirudi ushakua Maiti, Pole sana kwa wafiwa, ndugu, Jamaa na marafiki kwa kumpoteza mpendwa wao, inlalilah wa inlalilah rajiuni Bwana katoa Polisibubu wametwaa, marehemu apumzike anapostahiri
Nakubaliana na weweTumekuwa makondoo sana , tunaona mwenzetu anarejea na sisi tunaona kawaida bila kuchukua hatua , hao wahuni ilibidi wabanwe waonyeshe vitambulisho na warrant ya mahakama na waje na sare kamili za polisi na ikiwezekana watu kadhaa wawafuatilie na kuhakikisha huyo aliyekamatwa amepelekwa na kuingizwa kituoni na si vinginevyo ,hii ya wapuuzi tu wanakuja na kuteka watu na kujiongezea kwamba ni polisi kabisa kinyume na hivyo wapigiwe kelele za wezi na wapigwe na kuchomwa moto kama majambazi au wezi wengine mitaani wanavyofanyiwa .
Kuna arrest procedures na zinajulikana , aisee watz tuache ukondoo
Inahitajika uchunguzi wa kina kubaini nani muhusika.Kuna biashara haramu inaendelea hapa,kati ya wauuwaji na marehemu! Something fish [emoji226]!!
Moja mimi sio CHADEMAMnatokwa mapovu Kwa sababu ni mwenzenu huko Chadema na ana jina ila watu wa kawaida hakuna anaewatetea.
Kwa hiyo huna uhakika na ulichoandika? Siku ingine usiandike kitu usichofahamu. Sawa?!Waulizwe wenyewe
Labda aliVuJisha rushwa ya abdulHadi kuzuia basi inaonekana kulikuwa na shutuma nzito ikizingatiwa bwana huyu amewahi kuwa mtumishi wa umma(Askari) kule unalishwa viapo vya kutunza Siri.
Pole yake na ndugu zake
Waite Polisi au hujasoma alichukuliwa na nani?Inahitajika uchunguzi wa kina kubaini nani muhusika.
Mpaka sasa hakuna ‘mens rea’ ya serikali
muda si mrefu , ccmu wanawakaribisha warmongers kwa kuweka mazingira rafik kwa wahuni kujipenyeza kwenye jamiiAjabu wote mlioko hapa mnaishia kulaani tu badala ya kutoa neno nini kifanyike kukomesha huu udhalimu;
Sasa rais mwenyewe mbona yupo kimya? Hivi unaijua intelejensia ya TZ? Nakwambia hao watu waliomuua Ally Kibao wangekuwa nje ya system siku hiyo hiyo wangekwisha dakwa....kama waliweza kumshika maana walikuwa bare hands ,mwili wake uchunguzwe finger prints waende kuzioanisha na Database ya NIDA ili itoe wauaji.....Ndugu zake waombe uchunguzi huru kutoka vyombo nje ya watuhumiwa wafanya forensic.Kwa nje wanaoteka na hatimae kupatikan watu wakiwa maiti inaweza kuonekana kama watu wenye nia ya kunyamazisha upinzani kwa faida ya chama tawala na raisi aliyepo madarakani.
Kwa uzoefu wangu watu hao ni majambazi ambayo yana nia mbaya na raisi.Wito raisi Samia awe makini sana kipingi hiki kuelekea uchaguzi.
Wewe ndio unasema hayo, ulikuwepo kwenye kama abiria?Waite Polisi au hujasoma alichukuliwa na nani?