Garincha II
Senior Member
- Jul 21, 2023
- 185
- 213
Wako kwenye denial. Wengine bado wanamlaumu hawataki kuface ukweliR.I.P JPM ulikua unasingiziwa sana. Ona sasa watu wanaendelea kuokotwa wameuwawa ila wala Rais hatajwi kwenye mauaji hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako kwenye denial. Wengine bado wanamlaumu hawataki kuface ukweliR.I.P JPM ulikua unasingiziwa sana. Ona sasa watu wanaendelea kuokotwa wameuwawa ila wala Rais hatajwi kwenye mauaji hayo
Unataka CDM kuwa branded kuwa chama cha kigaidi? Tutumie akili kidogo.Hapana. Hapana. Hapana.
Hii itakuwa ni kuitesa familia ya marehemu.
Cha kufanya, ni chadema nao waanze kuwateka watoto, wake, na viongozi wa ccm.
Unajua hakuna kitu kama haki ambacho Mungu alimuumbia mwanadamu kifo,na kila mtu atakufa,hata ungekuwa na madaraka na nguvu vipi utakufa,hata ukiniuwa mimi na wewe kesho utakufaKupitia kwa kifo cha huyu mzee, tunaweza kuujua ukweli fulani wa hawa watekaji...
Walimteka mchana, ndani ya basi (kampuni ya bus inayojulikana) akiwa kama abiria, tendo limeshuhudiwa na abiria wengine wote na waliofanya tendo hilo wamejitambulisha kama Mapolisi.....
Tunajiuliza, kampuni ya bus ya Tashriff nao ni sehemu ya mpango wa kuuwawa kwa huyu mzee.? Wanashirikiana na hili kundi la ujambazi/ugaidi wanaojitambulisha kama polisi? Bila shaka ni lazima Tashriff bus wawe sehemu ya uchunguzi wa tukio hili.....
Iweje polisi wakamate mtu halafu baadae aokotwe amekufa. Hii ndiyo kazi ya polisi..?
Usalama wa Watanzania uko wapi , Ee Mwenyezi Mungu tunaomba haya mambo yaishe. Inasikitisha sana watu wanapotezwa kimahisara tuAnaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
View attachment 3090046
View attachment 3090047
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.
Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.
ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.
Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote, anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.
Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.
Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha, wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima, mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.
Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.
Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1. Dioniz Kipanya 2. Kombo Bwana Twaha 3. Godwin Mlay 4. Deusdedith Soka 5. Frank Mbise.
Soma Pia:
Boniface Jacob
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
Ex-Mayor
0712 239 595
Unachekesha!Magufuli ndio muasisi wa huu uchafu
Kwa mkuu wa nchi hii bado kwake ni DRAMA.
Mwenyewe najiuliza, kwamba huyo mzee alikuwa na uwezo wa kuorganize mapinduzi?Aliacha kazi JWTZ akaenda ccm, akaja kuhamia CHADEMA..
Mapinduzi?
Hili ni jambo la kushangaza na kusikitika sanaAbiria wote sitini walishuhudia tukio hili la utekaji.
Ngoja tuone.
Kulaumu basi la Tashriff ni kujaribu kuukimbia mzizi wa fitina tu (trying to project the problem).Kupitia kwa kifo cha huyu mzee, tunaweza kuujua ukweli fulani wa hawa watekaji...
Walimteka mchana, ndani ya basi (kampuni ya bus inayojulikana) akiwa kama abiria, tendo limeshuhudiwa na abiria wengine wote na waliofanya tendo hilo wamejitambulisha kama Mapolisi.....
Tunajiuliza, kampuni ya bus ya Tashriff nao ni sehemu ya mpango wa kuuwawa kwa huyu mzee.? Wanashirikiana na hili kundi la ujambazi/ugaidi wanaojitambulisha kama polisi? Bila shaka ni lazima Tashriff bus wawe sehemu ya uchunguzi wa tukio hili.....
Iweje polisi wakamate mtu halafu baadae aokotwe amekufa. Hii ndiyo kazi ya polisi..?
Roho yangu inanituma vinginevyo:Magufuli ndio muasisi wa huu uchafu