TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
View attachment 3090046
View attachment 3090047

======

Ali Mohamed Kibao Ameuawa

Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.

Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.

ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.

Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote, anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.

Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.

Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha, wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima, mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.

Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.

Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1. Dioniz Kipanya 2. Kombo Bwana Twaha 3. Godwin Mlay 4. Deusdedith Soka 5. Frank Mbise.

Soma Pia:
Boniface Jacob
Ex-Mayor
0712 239 595
Raha ya milele umpe ee Bwana na nwanga wa milele umuangazie marehemu Ali Mohamed Kibao apumzike kwa amani Amina.

Poleni mke na watoto. ndugu na CHADEMA kwa kifo hiki cha kikatili na uonevu mkubwa.

Imemwagwa damu isiyo na hatia, lakini Mwenyezi Mungu anasema kulipa kisasi ni juu yake.
 
Chadema punguzeni kuandikaaaaa tu na kulaani. Maamuzi magumu yana nafasi kubwa. Mlizuiwa mlikamatwa mkadhihakiwa mkawekwa rumande mkasafirishwa kas kus mashariki na magharibi mpo kimya, vijana wenu wamekamatwa hamjui walipo mpo kutwa kuandika warudisheni,

wafia vyama mnakwama mno. Punguzeni kusifu na kuabudu kama chawa wa jirani.

Watesi wametambua uoga wenu ndio maana haya yanaendelea. Mtaitisha press conference tena then what?
kwamba,Chedema tu ndiyo wapo ndani ya Tanzania hivyo washughulike na kumalizana na Mtesi wao ila nyie Wakaazi Wagaganiko Country ili aliwahusu?.
 
Kupitia kwa kifo cha huyu mzee, tunaweza kuujua ukweli fulani wa hawa watekaji...

Walimteka mchana, ndani ya basi (kampuni ya bus inayojulikana) akiwa kama abiria, tendo limeshuhudiwa na abiria wengine wote na waliofanya tendo hilo wamejitambulisha kama Mapolisi.....

Tunajiuliza, kampuni ya bus ya Tashriff nao ni sehemu ya mpango wa kuuwawa kwa huyu mzee.? Wanashirikiana na hili kundi la ujambazi/ugaidi wanaojitambulisha kama polisi? Bila shaka ni lazima Tashriff bus wawe sehemu ya uchunguzi wa tukio hili.....

Iweje polisi wakamate mtu halafu baadae aokotwe amekufa. Hii ndiyo kazi ya polisi..?
Hakika
 
R.I.P JPM ulikua unasingiziwa sana. Ona sasa watu wanaendelea kuokotwa wameuwawa ila wala Rais hatajwi kwenye mauaji hayo
Kipindi kile kila tukio hawahawa CHADEMA walimsema JPM ila saizi hutawasikia wakisema Samia ndo mhusika!
Kweli Mungu fundi aliona jamaa amwondoe ili ukweli na chuki yao juu yake iwatafune!
Sasa wanapiga kelele kama kuku bandani hawajui anaefata japo wote hatuko salama!
 
So sad😭😭😭 Katika hali hii inabidi tusimuamini mtu yeyote atakayejitambulisha kama polisi hatakama atatoa kitambulisho unless akubali kwanza kupigwa picha mbele ya mashahidi.
 
Roho yangu inanituma vinginevyo:

Haya mambo yalikuwa ya kawaida sana kule Zanzibar. Yalikuwa yanafanywa na wale waliokuwa wakijiita mazombi.

Je, haiwezekani, huu ushetani tumeurithi toka Zanzibar? Mshauri namba 1 wa Rais wa JMT ni Makamu wa Rais wa JMT. Je, haiwezekani huyu mshauri wake namba 1 ambaye alikuwa anatoka Zanzibar kulikokuwa kumejaa siasa za namna hii, kuwa ndiye aliyemshauri JPM? Haiwezekani ikawa ndiyo sababu ya matukio haya kuongezeka maradufu, maana sasa madaraka yameshikwa na aliyekuwa mshauri kwenye siasa za kiharamia za mazombi, ambaye ana uzoefu wa ushetani huu?
Wale mazombi wa Zanzibar Walikua ni zaidi ya wanyama, naamini ni watu waliokula kiapo cha kufanya ile kazi. Nilikua na kazi flani, lakini niliwaogopa pia😥
 
Hapana.magufuli ana afadhali.
Idadi ya utekaji ya kipindi cha samia ni KUBWA SANAkuliko kipindi cha magufuli. Huu ukweli tuuseme na tuukubali.wewe hauoni?
Upo sahihi. Utekaji na mauaji ya kipindi cha utawala wa Samia yamekuwa mengi maradufu ya wakati wa uongozi wa Magufuli.

Yawezekana hata ule utekaji na mauaji ya wakati wa utawala wa Magufuli, ulikuwa ni ushauri wake. Maana huko Zanzibar mambo hayo ya kuteka na kuua yalikuwa ni kawaida sana, na yalifanywa na kundi la CCM lililojulikana 'mazombi'. Haiwezekani huyu mama ndiye aliyemshauri Magufuli, na Magufuli bila kutafakari, akaamua kulibeba? Ikumbukwe kuwa huyu ndiye, kwa ujasiri kabisa alitamka wazi kuwa watu hata kama wangepigia kura wagombea wa vyama vya upinzani, kura zao walizowapigia wapinzani, zitahesabika CCM. Hivyo siwezi kushangaa nikisikia kuwa hata haya yanayoendelea yana baraka zake. Watu husema kuwa akina mama wana huruma sana, lakini mwanamke akiamua kuwa mchawi ni mbaya kuliko wanaume, anaua bila huruma hata kidogo.
 
Aise.. pole sanaa familia ya CHADEMA Kuna mwasisi mmoja alise "vita ya siasa ni hatari sanaa "
Bila kuuliza nishapata jibu kuhusu waliomfanyia ukatili huu..
 
Ila pia mimi naamini Magufuli licha ya kuwa kutiliwa mashaka ya kuhusika na shambulio la Lisu ila haya mengine si amini sana kwa kuwa haya mambo yamekuwepo muda sasa na wash ukiwa ni vyombo vya ulinzi na usalama!
Kwa hiyo unataka kusema nini mkuu?

Kwamba Magufuli alikuwa hajui yanayotokea? Kwamba alishindwa kusema neno moja tu kuyakomesha?

Utekaji na uuaji umekuwapo tangu enzi za Nyerere na Karume.

Lakini hilo haki mu excuse yeyote aliyeshiriki, kubariki, kuachia na kukaa kimya.
 
Kuna kiingozi alishawahi sema kuna vitu wanafanya and baada ya uchaguzi wanatubu kwa Mungu wao
 
ALI MOHAMED KIBAO AMEUWAWA..!

Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.

Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.

ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.

Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote ,anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.

Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.

Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha,wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima,mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.

Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.

Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1.Dioniz Kipanya 2.Kombo Bwana Twaha 3.Godwin Mlay 4.Deusdedith Soka 5.Frank Mbise.

Mmesahau awamu ya bwana yule
 
Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
View attachment 3090046
View attachment 3090047

======

Ali Mohamed Kibao Ameuawa

Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA.

Mwili wa ALI MOHAMED KIBAO ulikutwa umetupwa jana alfajiri maeneo ya UNUNIO (jirani na viwanja vya NSSF) ukiwa na majereha makubwa sehemu za usoni kiasi ndugu zake walipata tabu kuutambua kirahisi.

ALI MOHAMED KIBAO alikamatwa na watu wanao dhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Polisi eneo la TEGETA, mbele ya Jengo la KIBO COMPLEX baada ya gari mbili za Jeshi za Polisi za Landcruiser hardtop nyeupe kuzuia (block) basi la TASHIRIF lenye namba T 343 EES alilokuwa amepanda ALI MOHAMED KIBAO kutoka Dar es saalam kuelekea nyumbani kwao Mkoani Tanga.

Kwa bahati nzuri wakati wote wa tukio likitendeka ndani ya gari palikuwa na askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani (Traffic) ambaye alikuwa kiti cha mbele kama abiria na alishuhudia tukio lote, anatambulika kama MACHIWA anayepatikana kwa namba 0652484802.

Namba ya simu aliyokuwa anatumia ALI MOHAMEDKIBAO ni +255 624 724 247 mpaka wakati anatekwa na kwenda kuuwawa,pia ndiyo namba ambayo mara kadhaa waliomteka walikuwa wakimpigia kuhakiki kama ni yeye.

Kwa mujibu wa wenyeji wa UNUNIO ambao ni walima mchicha, wanasema Jana asubuhi walitoa taarifa kwa Jeshi la Polisi baada ya Kuona mwili wa Mtu mzima, mweupe mwenye asili ya Kiarabu ambaye baadae Jana jioni ndugu waliutambua kuwa ni mwili ALI MOHAMED KIBAO ukiwa na majeraha.

Kabla ya umauti wake ALI MOHAMED KIBAO aliwahi kuwa afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akastaafu na kujiunga na CCM,baadae akachaguliwa kuwa Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Tanga wakati wa Rais Kikwete,na baadae alijiunga CHADEMA.

Baada ya mauaji haya ya Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuwawa idadi ya Viongozi wa CHADEMA wakiotekwa inaongezeka
1. Dioniz Kipanya 2. Kombo Bwana Twaha 3. Godwin Mlay 4. Deusdedith Soka 5. Frank Mbise.

Soma Pia:
Boniface Jacob
Ex-Mayor
0712 239 595
Siasa siasa😭😭😭😭😭😭 Ee Mungu hasira yako iwake Kwa Hawa wanaofanya Haya mauaji Na ukatili
 
Kuna watu walilipwa kumtukana yule mzee...

Bahati nzuri Mungu akajibu maombi yao..

Bahati mbaya yale matukio yaliyotumika kumtukana Magufuli bado yanayoendelea...

Bahati nzuri kundi lililo walipa kipindi kile ndio linaongoza sasa, kwahiyo watukanaji wanakosa nguvu ya kutukana...

Wanatamani wamtaje Magufuli ila hayupo...

NB: Rest in peace Ally Kibao, haya matukio yatakoma tukiacha unafiki...

Siku tukiweza kuacha unafiki haya matukio yatakwisha yenyewe..

CCM wanajua wapinzani ni wanafiki, wanatumia upenyo huo kutunyoosha..

Na tutanyooshwa kwelikweli tusipoacha unafiki...
Huu mchezo watu waliucheza sana kipindi cha Mzee Magu!
Mara Kibiti mara viroba na kumbatiza majina ya Dicteta uchwara!
Maadui zake walikuwepo ndani ya serkali na upinzani wakitengeneza kila aina ya propaganda ili aonekane kiongozi asiyefaa!
Kila tukio la mauaji alibambikwa yeye ndo muhusika hata mtu akionekana kauawa mtaani walisema Magufuli anaua watu!
Sasa kweli hawana wa kumsingiziq maana adui yao alikata kauli wamebaki wenyewe waliokuwa wanashirikiana kumchafua sasa mambo yanawatokea pua!
Walisema sasa bahari iko shawa muuaji hayupo tena!
Kumve wauaji wenyewe walikuwepo ila walitumia kivuli cha JPM na ukali na kutotaka mambo ya hivyo uonekane ni udikteta Uchwara!
Hakika malipo ni hapahapa duniani!
 
Back
Top Bottom