Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama mtu anakosa si unamkamata tu mnamfikisha kwenye vyombo vya sheriaHawataki kujifunza kilichotokea awamu ya 5...Ogopa kilio cha wengi.
Nawaomba wazee wa Tanga watoe funzo kwa hao WAHUNI waliomuua Mzee Ali Kibao.
Hata kama mtu anakosa si unamkamata tu mnamfikisha kwenye vyombo vya sheria
Mambo ya kuuwana tena
Marekani yenyewe huwa wanawakamata wale deadliest terrorist wanawataka wakiwa hai
Sasa hawa kwetu mtu kuchoma tu picha anatekwa,mtu kamngonga fulani anatekwa ehhh
Taasisi imejaaa watu washmbaa
Na hawana weledi kabisa
Ova
Hapa unapata picha yawezekana sio serikali wala sio polisi kuna Team inafanya hiyo kazi tena kwa kulipwa na ni team yenye vitendea kazi vya kutosha.Hapana.magufuli ana afadhali.
Idadi ya utekaji ya kipindi cha samia ni KUBWA SANAkuliko kipindi cha magufuli. Huu ukweli tuuseme na tuukubali.wewe hauoni?
Polisi wakifanya kwa weledi na kuto ahirisha kufikiri kwa akili za kizalendo, naamini hawawezi kushindawa tuwe na subira tusiunganishe nukta, maana wahalifu wamo humu wanaweza zichezea hizo nukta, (codes), mnazo jaribu kuziunganisha, they can log out and disappearHapa unapata picha yawezekana sio serikali wala sio polisi kuna Team inafanya hiyo kazi tena kwa kulipwa na ni team yenye vitendea kazi vya kutosha.
Sisi wenyewe kwa wenyewe tunamalizana ila kivuli ni serikali na polisi lakini naamini kuna magenge yapo hii nchi yanafanya hii biashara kwa malipo.
Hii ina utofaut gani na ya Lissu kupgwa risasi mitaaa ya viongozi kabisa! Maana yake lazima kuna team behind.
Je ni nani hao? Wanawezeshwa na nani? JIBU jepesi ni 1 tu TANZANIA sio SALAMA.
Kaa ukaavyo ila fahamu upo nchi yenye hatari.
takataka hawafai kuishi,mpaka Sasa mambo yameharibika sana.Mzee baba usisena eti bora utekaji wa kipind cha magufuli tunatakiwa tuukemee kwa nguvu hii hali yakijinga sana siku akitekwa mtt wa waziri ndo tutakaa sawa ngoja twende tusije kua km colombia magenge ya walanguzi wa dawa za kulevya yanawinda familia za viongozi for revenge ni hali mbya sana twende tu.Tanzania ilifika hatua kiongozi akifa watu wanafurahia kabisa tujiulize kwann tumefika yote kwa sababu watawala wakiwa na wadhifa wanajisahau wanaon wengine takataka hawafai kuishi
Wale wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi watakwambia mnajiteka tena wanaanzisha na uzi humu kwa herufi kubwatakataka hawafai kuishi,mpaka Sasa mambo yameharibika sana.
Mwaka wa uchaguzi huu kuna suala la kuchafuana kisiasa na wanaofanya hayo hawajali kumwaga damu ya mtu.Hapa unapata picha yawezekana sio serikali wala sio polisi kuna Team inafanya hiyo kazi tena kwa kulipwa na ni team yenye vitendea kazi vya kutosha.
Sisi wenyewe kwa wenyewe tunamalizana ila kivuli ni serikali na polisi lakini naamini kuna magenge yapo hii nchi yanafanya hii biashara kwa malipo.
Hii ina utofaut gani na ya Lissu kupgwa risasi mitaaa ya viongozi kabisa! Maana yake lazima kuna team behind.
Je ni nani hao? Wanawezeshwa na nani? JIBU jepesi ni 1 tu TANZANIA sio SALAMA.
Kaa ukaavyo ila fahamu upo nchi yenye hatari.
Utekwaji imekua too much sasa!
Tumeshafutwa na msajili....we no longer exist.....Naona Green guard umekuja kutetea maslahi yenuTT
Kama siyachama baada ya kusema hayo chama kililaani na kuhojiwa na vyombo vya dola kwa kauli hiyo?
Hivi chadema aseme mfano wa hayo unafikiri chama kitaachwa au aliyesema hayo ataachwa awepo mitaani?
Yanayoendelea ya wanachadema kutekwa ccm ni wahusika kwa kuwatumia vyombo vya dola.
Kitawezaje kutoa tamko wakati wanabariki hayo, yaani wanachama na viongozi wa ccm hutoa kauli za vitisho juu ya upinzani hasa chadema lakni hakuna anayechukuliwa hatua kwasababu tu aliyesema hayo ni mwanaccm. Hakuna refu lisilokuwa na mwisho.Kuhusu kumuwajibisha ni kweli una point...
Chama kimekosea kutotoa tamko....
Mawazo mazuri sana asante!!Huwa bado nawaza sana balozi Simoni Sirro enzi akiwa IGP aliwahi kusema kuwa Polisi wana ushahidi kamili kuhusu mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe katika kesi yake ya 'ugaidi' iliyokuwa inahusisha pia utekaji na mipango ya mauaji kwa viongozi mbalimbali wa kisiasa na tuliona kina Kingai wakienfa mahakamani kutoa matokeo ya upelelezi wao, ambapo mahakama ilimkuta Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu; mara ghafla bin vuu tukaona DPP amesita kuendelea na kesi, Mbowe akatoka jela yeye na washtakiwa wenzake, siku hiyo hiyo akaenda Ikulu kuonana na Samia, mara ghafla tukaambiwa maridhiano, Kisha IGP Sirro anatolewa U-IGP na kuteuliwa kuwa balozi Zimbabwe;....
We are NO longer at ease!Sidhani kama tuko salama tena