TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Wanataka na wao wawe wanalipwa na serikali kila mwisho wa mwezi
 
Nisisikie tena mtu anamsemea vby JPM, Mungu atazidi kuwanyoosha na si ajabu hata huyo mzee alfurahia sana kifo cha Magufuli, mtu alkuwa anapambania taifa mnamjaza na kumsakama na mambo kibao.

Baada ya kifo cha JPM some of you dare to say we are now free, we are now new ,you enjoyed the death of JPM with passion and happiness while a lot of us were in dilemma! Okay I can see now you are really free na nchi ndio kwanza imesimama ht haiendelei.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Hawataki kujifunza kilichotokea awamu ya 5...Ogopa kilio cha wengi.

Nawaomba wazee wa Tanga watoe funzo kwa hao WAHUNI waliomuua Mzee Ali Kibao.
Hata kama mtu anakosa si unamkamata tu mnamfikisha kwenye vyombo vya sheria
Mambo ya kuuwana tena
Marekani yenyewe huwa wanawakamata wale deadliest terrorist wanawataka wakiwa hai
Sasa hawa kwetu mtu kuchoma tu picha anatekwa,mtu kamngonga fulani anatekwa ehhh
Taasisi imejaaa watu washmbaa
Na hawana weledi kabisa

Ova
 
Kabisa ,yaani mambo ya kijinga kijinga sana ,serikali ina kila aina ya silaha za kujilinda yaani inamuogopa mtu ambaye hana hata kisu kisa tu tapeli msigwa amesema kwamba huyo mtu ni hatari.

Uhatari wake umeanza baada ya Tapeli Msigwa kutoka chadema? Upuuzi mtupu ,kutumia rasilimali za nchi kwenda kuua mtu ambaye hana hatia yeyote wala madhara...Nasema hana madhara kwasababu alikuiwepo muda mrefu tu kwenye siasa na hakuna kitu cha hatari alichokifanya.

Dogo amechoma picha aliyeichora mwenyewe lakini ametekwa na "mihuni" ,Je watu wanavyochoma magazeti yenye picha ya rais nao watafungwa? Non-sense.
 
Hapana.magufuli ana afadhali.
Idadi ya utekaji ya kipindi cha samia ni KUBWA SANAkuliko kipindi cha magufuli. Huu ukweli tuuseme na tuukubali.wewe hauoni?
Hapa unapata picha yawezekana sio serikali wala sio polisi kuna Team inafanya hiyo kazi tena kwa kulipwa na ni team yenye vitendea kazi vya kutosha.

Sisi wenyewe kwa wenyewe tunamalizana ila kivuli ni serikali na polisi lakini naamini kuna magenge yapo hii nchi yanafanya hii biashara kwa malipo.

Hii ina utofaut gani na ya Lissu kupgwa risasi mitaaa ya viongozi kabisa! Maana yake lazima kuna team behind.

Je ni nani hao? Wanawezeshwa na nani? JIBU jepesi ni 1 tu TANZANIA sio SALAMA.

Kaa ukaavyo ila fahamu upo nchi yenye hatari.
 
Polisi wakifanya kwa weledi na kuto ahirisha kufikiri kwa akili za kizalendo, naamini hawawezi kushindawa tuwe na subira tusiunganishe nukta, maana wahalifu wamo humu wanaweza zichezea hizo nukta, (codes), mnazo jaribu kuziunganisha, they can log out and disappear
 
Mzee baba usisena eti bora utekaji wa kipind cha magufuli tunatakiwa tuukemee kwa nguvu hii hali yakijinga sana siku akitekwa mtt wa waziri ndo tutakaa sawa ngoja twende tusije kua km colombia magenge ya walanguzi wa dawa za kulevya yanawinda familia za viongozi for revenge ni hali mbya sana twende tu.Tanzania ilifika hatua kiongozi akifa watu wanafurahia kabisa tujiulize kwann tumefika yote kwa sababu watawala wakiwa na wadhifa wanajisahau wanaon wengine takataka hawafai kuishi
takataka hawafai kuishi,mpaka Sasa mambo yameharibika sana.
 
Hapa unapata picha yawezekana sio serikali wala sio polisi kuna Team inafanya hiyo kazi tena kwa kulipwa na ni team yenye vitendea kazi vya kutosha.

Sisi wenyewe kwa wenyewe tunamalizana ila kivuli ni serikali na polisi lakini naamini kuna magenge yapo hii nchi yanafanya hii biashara kwa malipo.

Hii ina utofaut gani na ya Lissu kupgwa risasi mitaaa ya viongozi kabisa! Maana yake lazima kuna team behind.

Je ni nani hao? Wanawezeshwa na nani? JIBU jepesi ni 1 tu TANZANIA sio SALAMA.

Kaa ukaavyo ila fahamu upo nchi yenye hatari.
Mwaka wa uchaguzi huu kuna suala la kuchafuana kisiasa na wanaofanya hayo hawajali kumwaga damu ya mtu.

Magufuli alisingiziwa kujihusisha na mauaji ya wanasiasa, leo hii awamu ya sita watu wanauawa kama kawaida.

Mungu apishie huu unyama usije kututokea.
 
Kuhusu kumuwajibisha ni kweli una point...

Chama kimekosea kutotoa tamko....
Kama siyachama baada ya kusema hayo chama kililaani na kuhojiwa na vyombo vya dola kwa kauli hiyo?

Hivi chadema aseme mfano wa hayo unafikiri chama kitaachwa au aliyesema hayo ataachwa awepo mitaani?

Yanayoendelea ya wanachadema kutekwa ccm ni wahusika kwa kuwatumia vyombo vya dola.
 
Kuhusu kumuwajibisha ni kweli una point...

Chama kimekosea kutotoa tamko....
Kitawezaje kutoa tamko wakati wanabariki hayo, yaani wanachama na viongozi wa ccm hutoa kauli za vitisho juu ya upinzani hasa chadema lakni hakuna anayechukuliwa hatua kwasababu tu aliyesema hayo ni mwanaccm. Hakuna refu lisilokuwa na mwisho.
 
Huwa bado nawaza sana balozi Simoni Sirro enzi akiwa IGP aliwahi kusema kuwa Polisi wana ushahidi kamili kuhusu mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe katika kesi yake ya 'ugaidi' iliyokuwa inahusisha pia utekaji na mipango ya mauaji kwa viongozi mbalimbali wa kisiasa na tuliona kina Kingai wakienfa mahakamani kutoa matokeo ya upelelezi wao, ambapo mahakama ilimkuta Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu; mara ghafla bin vuu tukaona DPP amesita kuendelea na kesi, Mbowe akatoka jela yeye na washtakiwa wenzake, siku hiyo hiyo akaenda Ikulu kuonana na Samia, mara ghafla tukaambiwa maridhiano, Kisha IGP Sirro anatolewa U-IGP na kuteuliwa kuwa balozi Zimbabwe;....
Mawazo mazuri sana asante!!
 
Back
Top Bottom