Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
zamu yako haiko mbaliUporokwe ye kahusika wapi?Hii uhuni mnaweza kuwa mmefanya wenyewe kwenye hiyo saccos yenu.
Na km ni kwa chama twawala itajulikana ni muda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zamu yako haiko mbaliUporokwe ye kahusika wapi?Hii uhuni mnaweza kuwa mmefanya wenyewe kwenye hiyo saccos yenu.
Na km ni kwa chama twawala itajulikana ni muda tu
Sasa maajabu ni hayo; kusikia kwamba bado alikuwa na "umaarufu". Umaarufu wa kitu gani hasa!; kuwa 'Chura Kiziwi', au?Uchunguzi tulioufanya kwa macho na Masikio yetu ni kwamba, hata wale Chawa wanaoishi kwa kumsifu tu, tangu mauaji yale ya kishamba, Wameufyata, kule mitandoni wanakokesha kumtukuza hawapo tena! ( Hata nyinyi mnawajua )
Unajua hata ungekuwa na njaa kiasi gani, yako mambo mabaya ambayo mfadhili wako akifanya unajikuta Aibu inakupata tu, kuna ubinadamu ambao hata Chawa wanao, kwahiyo hata wewe kama unawalipa lakini ukiboronga wanarudi nyuma na kuona Aibu.
Ngoja tuone mpaka uchaguzi atabaki na % ngapi.
Kuna kati ya hao "chawa" unao waongelea, ambao ndio watekelezaji wa mauaji; ambao baadhi yao tunao humu, kama 'Tlaatlaah' (sina shaka na nisemayo juu ya huyu); hawa hakuna jambo lolote linalo wastua. Hawana ule ubinaadam wa kawaida tena.Unajua hata ungekuwa na njaa kiasi gani, yako mambo mabaya ambayo mfadhili wako akifanya unajikuta Aibu inakupata tu, kuna ubinadamu ambao hata Chawa wanao, kwahiyo hata wewe kama unawalipa lakini ukiboronga wanarudi nyuma na kuona Aibu.
hakika kaka uhai wa mtu ni muhimu kuliko chochoteNaamini ingekuwa ni Mzee wako ndio kauliwa dakika hii ungekuwa unashtumu mpaka sisimizi. Ila kwa vile hakuhusu basi unapayuka tu kama uharo wa kiporo kilicho chacha.
Hili jambo ni kubwa kuliko siasa, ni swala la uhai wa watu. Japo unajihisi upo salama ila hakuna alie salama.
Zamu ya kufanya nini? We mwenyewe jiangalie hapozamu yako haiko mbali
Ni kweli imani ya wananchi kwa Rais imeshuka sana maana hawaoni kama anakerwa na haya matukio sababu hakuna any official statement aliyotoa kusemea hili zaidi ya kutweet tu kwenye mtandao. Kiukweli imeonyesha kama vile hajali au kama anafahamu ishu nzima from the beginning so anakaushia. As a chief comforter tulitarajia kuona akiwa concerned sababu hii inahusisha maisha ya watu binafsi na wengi waliotekwa ni watu wanaopinga utawala wake au wakosoaji au wapinzani wa kisiasa au wanaharakati so inaleta wasiwasi sana kuhusu uhusika wake.Uchunguzi tulioufanya kwa macho na Masikio yetu ni kwamba, hata wale Chawa wanaoishi kwa kumsifu tu, tangu mauaji yale ya kishamba, Wameufyata, i kwkule mitandoni wanakokesha kumtukuza hawapo tena! ( Hata nyinyi mnawajua )
Unajua hata ungekuwa na njaa kiasi gani, yako mambo mabaya ambayo mfadhili wako akifanya unajikuta Aibu inakupata tu, kuna ubinadamu ambao hata Chawa wanao, kwahiyo hata wewe kama unawalipa lakini ukiboronga wanarudi nyuma na kuona Aibu.
Ngoja tuone mpaka uchaguzi atabaki na % ngapi.
Huyo Tlaaa hana hoja!! Ana argue kama watoto wa la pili CKuna chawa andazi mmoja humu na nduguye Tlaatlaah wapo bize kupangua tuhuma za Hangaya.
Jamaa wanalipwa vyema sana
Tulia wewe na sambusa zako na burger za mlenda.Uporokwe ye kahusika wapi?Hii uhuni mnaweza kuwa mmefanya wenyewe kwenye hiyo saccos yenu.
Na km ni kwa chama twawala itajulikana ni muda tu
Bali walichosahau ni kwamba Shetani hana rafiki, zamu yao haiko mbaliKuna kati ya hao "chawa" unao waongelea, ambao ndio watekelezaji wa mauaji; ambao baadhi yao tunao humu, kama 'Tlaatlaah' (sina shaka na nisemayo juu ya huyu); hawa hakuna jambo lolote linalo wastua. Hawana ule ubinaadam wa kawaida tena.
Uchunguzi tulioufanya kwa macho na Masikio yetu ni kwamba, hata wale Chawa wanaoishi kwa kumsifu tu, tangu mauaji yale ya kishamba, Wameufyata, kule mitandoni wanakokesha kumtukuza hawapo tena! ( Hata nyinyi mnawajua )
Unajua hata ungekuwa na njaa kiasi gani, yako mambo mabaya ambayo mfadhili wako akifanya unajikuta Aibu inakupata tu, kuna ubinadamu ambao hata Chawa wanao, kwahiyo hata wewe kama unawalipa lakini ukiboronga wanarudi nyuma na kuona Aibu.
Ngoja tuone mpaka uchaguzi atabaki na % ngapi.
Yule ni fala tu kama mafala wengine, ashawahi kujifanya ananitishia nikamcheki, anasema eti kesho nitakuona nikasema huyu bwege hajui kama atakufa bila kunionaKuna chawa mmoja humu ukimpiga spana huwa anatishia kwamba ni Afisa wa Serikali toka jumapili sijamuona akianzisha uzi zaidi ya kuona reaction yake kwa Kijana wa kububujikwa machozi. We are all humans na tuna mioyo wakati mwingine hata kama ni Chawa au Kunguni nafsi itakusuta tu.
Umeharibu uzuri wa uzi mwanzo ulianza vizuriKwa mtazamo huo haitoshangaza kuwa iwapo uchunguzi utafanyika kwa kina na kwa utaalamu basi wauwaji wakipatikana watawashangaza sana watanzania. Wanaweza kuwa ni wafuasi wa viongozi wa dini,wakereketwa wa vyama vya siasa hata kutoka ndani ya chama tawala chenyewe au kutoka chama kikuu cha upinzani nchini.
Hakukuwa na sababu ya kumuua na kumtupa karibu na mashamba ya wakulima ili aonekane haraka.
Uko vile vile.Umeharibu uzuri wa uzi mwanzo ulianza vizuri
Tusiyoyajua ni sawa na usiku wa giza..Ehee.kule kule kwa jana.
Samia sijui kama ana swali sala 5.hana hofu ya mungu. Nchi ishamshinda
Lengo lao ilikuwa ni kuwatisha watu. Na tukitishika wataona wamefanikiwa. Lazima wananchi sasa kuja juu zaidi, ili wajue kuwa mipango yao ya kishetani imeshindwa.Wasiojulikana Si lolote mbele ya nguvu ya umma.
Tukio la Mwanza la wananchi kugomea askari wasio na sare kumkamata mtu ni tone tu la yajayo.
Wananchi tumeipa mamlaka Serikali itulinde,
Hii haimaanishi kuwa sisi hatuwezi kujilinda la hasha,
Tumewaajiri Serikali, Bunge, mahakama,polisi watulinde, tunawalipa mshahara Ili tufanye shughuli zingine Ili kupata Kodi ya kuendesha Nchi.
Wananchi tuna HAKI ya kuishi, na hayupo wa kututisha, hayupo.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Amin