Dar: Askari wa Usalama Barabarani kagongwa na kupoteza maisha

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Habari Mbaya sana.

Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani.

Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje.

Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara.

Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe.
Apumzike kwa amani.
 
Alikuwa hakuvaa helmet?
 
Mbona ni kama amejigonga nyuma ya hilo gari lililosimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…