Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Picha inaonesha yeye ndiye aliyegonga.Umaskin ni LAANA. Kazi nyingine ni za LAANA tu. Dunia Haina huruma, wewe unadhani kwa kuvaaa nguo za trafiki mtu hatakugonga, watu wamechafukwa mtu anakugonga na ndio basi