Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Picha inaonesha yeye ndiye aliyegonga.Umaskin ni LAANA. Kazi nyingine ni za LAANA tu. Dunia Haina huruma, wewe unadhani kwa kuvaaa nguo za trafiki mtu hatakugonga, watu wamechafukwa mtu anakugonga na ndio basi
very sad! Ilikuwaje masikiniHabari Mbaya sana.
Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani.
Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje.
Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara.
Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe.
Apumzike kwa amani.
View attachment 3258412
Huwa aka yake anaitwa Mzee wa BusaraHabari Mbaya sana.
Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani.
Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje.
Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara.
Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe.
Apumzike kwa amani.
View attachment 3258412
Duhkumbe nao wanakufaga eeh , hatari faya aisee nilijua hawafagi hawa umbwa, pumbaf sana anatakiwa afe tena sheytwany kabisa , yaani siyapendi kabisa hayo matakataka yanaonea sana watu bila sababu.
Inawezekana.Naona kagongwa na gari ya wanafunzi rangi ya njano,Sasa sijui hakuvaa helmet?
Duh. Msiba mkubwa .Habari Mbaya sana.
Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani.
Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje.
Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara.
Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe.
Apumzike kwa amani.
View attachment 3258412
Kweli kabisa.Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache 😢