Usichanganye Ukatoliki na agizo la Askofu labda hujui Ukatoliki ni nini! Hilo ni agizo lake binafsi kwa muono wake.Kanisa katoriki ni taasisi imara na inayoongozwa kwa weledi wa hali juu. Tuliosoma seminary tunafahamu hilo na ndio chombo pekee kilichoonesha msimamo wakati wa vituko vya awamu ya tano. Tuna shida sana kwenye educational program zetu zinatoa half cooked personnel. Haiwezekani na kituko cha dunia watu kuendeshwa na hisia kiasi kile yaani. It is impossible to move a mountain by say '' mountain go" haiwezi kutokea. Itoshe kusoma kongole kwa baba askofu na taasisi yako
Kwani wewe unamsemea nani sasaKwani wewe ni Padre? Chanjo ni hiari. Kwenye hiari si sahihi hata wewe kujaribu kumsemea mtu.
Kasema "tuache utoto".Hata Papa angetamka hilo hadharani Wakatoliki wangempinga hadharani! Askofu nae ni vizuri akakumbushwa mipaka yake. Kwanza kuwaambia mapadre waache utoto ni matusi!
Anawatafuta nini mapadre kama si kulazimisha mgogoro sababu tu ya chanjo? Chanjo imelipasua baraza la maaskofu Calfonia, akasome hiyo habari ili aongozwe kwa hekima.
Eti weledi.mapadri wanaongoza kwa kashfa za kuwalawiti watoto na kanisa lipo kimya unasema wanaweledi.sema upo upande wao wala hawana kituKanisa katoriki ni taasisi imara na inayoongozwa kwa weledi wa hali juu. Tuliosoma seminary tunafahamu hilo na ndio chombo pekee kilichoonesha msimamo wakati wa vituko vya awamu ya tano. Tuna shida sana kwenye educational program zetu zinatoa half cooked personnel. Haiwezekani na kituko cha dunia watu kuendeshwa na hisia kiasi kile yaani. It is impossible to move a mountain by say '' mountain go" haiwezi kutokea. Itoshe kusoma kongole kwa baba askofu na taasisi yako
Mkuu unafahamu jimbo limepoteza mapadri wangapi up to now since this pandemic.Usichanganye Ukatoliki na agizo la Askofu labda hujui Ukatoliki ni nini! Hilo ni agizo lake binafsi kwa muono wake...
Mkuu, mbona unataka kununua kesi? Subiri kwanza labda wajitokeze mapadre watakaolalamika, ndio ulete kauli yako hii. Kwa sasa jiangalie wewe maana Ruwa'ichi hajasema lazima wewe ukapate chanjoChanjo ni hiari ya mtu, mbona anataka kuingilia maamuzi ya Mapadre ? Ingekuwa busara angewaomba.
Maana ni ile ile kwamba wasiochanja waache utoto. Kwahili kachemka mbayaKasema "tuache utoto".
SIO
"Muache utoto"
Angalia tofauti mkuu
Kwani wewe unamsemea nani sasa
Huyo ni Kim.a mmoja mshangilia CORONA na chanjo. Akisikia story za chanjo na Corona anajisikia kuwashwa mat.akoni.Kwani wewe unamsemea nani sasa
Uko disappointed wewe mwenyewe. Ruwaichi msimamo wake dhidhi ya Corona aliuweka wazi, Mpaka JPM akamnanga Kiaina.. Jamaa alishahimiza sana Tahadhari dhidhi ya covid kitambo.. Huu ni muendelezoAskofu anatoa agizo mapadre wote wachanjwe? Hata Papa hajatoa agizo popote! Kiukweli hilo agizo linastua sana! Seems ukichanja unatamani kila mtu achanje na wala si tu kwa nia njema bali kibinadamu tuna hulka hiyo.
Askofu hili haupo sawa. Mapadre watakupinga waziwazi na kuingiza Kanisa kwenye mgogoro ambao hukuutegemea. Kwanza unawaambia waache "utoto" kweli? Unafikiri kwa nafasi yako ya uaskofu maana yake umezidi mapadre wote akili?
Nimesikiliza hiyo hotuba nikawa very disappointed [emoji20] na Askofu wetu huyu.
Chanjo ni hiari, kama serikali inasema ni hiari wewe kiongozi wa dini unasema lazima? Kesho serikali ikiongoza kwa imla utapinga wewe? Very disappointed [emoji20]
Wewe acha kuharibu mada, jadili mada maana mtaanza kuleta hadi habari za kuabudu sanamu. Uacheni Ukatoliki maana hamuujui.Eti weledi.mapadri wanaongoza kwa kashfa za kuwalawiti watoto na kanisa lipo kimya unasema wanaweledi.sema upo upande wao wala hawana kitu
Eti weledi.mapadri wanaongoza kwa kashfa za kuwalawiti watoto na kanisa lipo kimya unasema wanaweledi.sema upo upande wao wala hawana kitu
Mapadri ktk jimbo la dar.Mapadri wote Tanzania nzima?
Hao mapadri hawana uhuru wa kuamua kuhusu matumizi ya miili yao ama ukiwa padri mwili ni wa kanisa ama askofu?
Bro experience ya ant vaccine protest inayo. Kama mtu unafuatilia juzi Papa aliwaasa watu kuwa chanjo ni salama na ishara ya upendo utesema Papa katoa msimamo wake binafsi au amekuwa manipulated na watu wachache. Kugawanyika na kawaida labda kwa watu ambao hawawezi kuvumilia diversities. Kuwaambia surbodinates waache utoto sio tusi labda kwa tafsiri yako. Kwa experience yangu katoriki wanaendeshwa na sheria sio mtu mmoja alichokisema baba askofu ndio msimamo wa kanisaUsichanganye Ukatoliki na agizo la Askofu labda hujui Ukatoliki ni nini! Hilo ni agizo lake binafsi kwa muono wake.
He is very wrong bora angekaa kimya na wengine tulifikiri ukimya wao una ujumbe au pengine kuna utafiti wanafanya maana nyenzo wanazo.
Mimi binafsi sikubaliani nae! Kwa ufupi hili agizo na namna alivyolitoa kama umesikiliza mapadre watampinga... Mark my word.