#COVID19 Dar: Askofu Ruwai’chi aagiza mapadri wote kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19

Kama wangekuwa na akili wangeaminiwa na kuachwa waamue kwa hiari kwa kutumia hiyo akili yao!! Agizo hilo limewadhalilisha sana!! Moja ya miiko ya kitabibu ni kutolulazisha aina ya tiba/kinga kwa mgonjwa!
Kanisa katoliki Lina Intelligensia kubwa sana, mpaka wamefikia hatua yote hiyo watakuwa wamejiridhisha.. Catholic sio kanisa la Gwajima
 
Nyie mnachanganya mambo, ya wakati ule issue ilikua ni KATIBA, tena huyo unae mtetea alikwenda kinyume na makubaliano na maaskofu wenzie waliokubaliana kwenye kikao chao cha TEC. Tusichanganye mambo, hili la chanjo na katiba ni vitu 2 tofauti sana
 
Waabudu sanamu ndiyo zao...Wanasahau uzima wa milele kwa miaka michache ya dunia hii mbaya na iliyojaa uasi
Hao wavaa kanzu hawana maana unafiki tu wakijifanya wema kumbe mbwa mwitu wakiabudu sanamu!
 
Hao ni wanafiki sana wanajiita watakatifu wakijitwalia uungu! Kristo ndo kichwa cha kanisa huyo papa ni vyeo tu!
 
Hapana mkuu! Wewe ni Mkatoliki? Ulipaswa kumjua Rais wa TEC kama ni kweli, vinginevyo utakuwa sio. Rais wa TEC ni Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa Jimbo la Mbeya
Rais mstaafu wa tec
 
Bado unatakiwa uendelee kumshukuru Mungu maana sio wote wamepata matokeo kama yako baada ya kuchanjwa.
 
.
 
Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu Yuda Tadheus Ruwai’chi ameagiza mapadri wote kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19 kwa kuwa ugonjwa huo unaumiza na kuondoa uhai
Askofu muongo mkubwa eti Tanzania tuliomba ipatikane Chanjo!!! Huyu Askofu mmmmmm.Kweli Ni sahihi kuitwa Yuda Ni Yuda Iscariote hasa

Sisi tuliomba Corona iondoke Tanzania hatujawaji omba tukaitaja chanjo midomoni mwetu tulipoomba kipindi Cha Magufuli

Yeye aliomba Nini? Si alisema tusikilize wanasayansi ? Hata hayo maombi ya kuomba changing alifanya wapi? Askofu muongo huyu looo.Eti watanzania tuliomba ipatikane Chanjo!!!! Askofu acha uongo
 
Una uhakika hakuna watanzania walioomba kwa Mungu hizo chanjo?!!!

Katika maombi yao yote ulikuwepo?!!
 
Una uhakika hakuna watanzania walioomba kwa Mungu hizo chanjo?!!!

Katika maombi yao yote ulikuwepo?!!
Askofu kasema tuliomba chanjo kaweka uwingi

Ina maana Sio Siri ndani ya Jimbo la Dar es salaam .Maana Akisema tuliomba Chanjo Ina maana hiyo hadhira ilihusika aliyohutubia

Nani ndani ya Katoliki aliomba na huyo Askofu kuombea chanjo? Muongo ataje hata padri au sista au bruda yeyote waliyeomba naye.Muongo
 
Uwingi unaanza na wawili....una uhakika hakuna maaskofu ,mapadri na maburuda walioomba hizo chanjo ?!!!

Akipita hapa atatuambia.....
 
Hilo ni jambo jema. Ni vema na viongozi wa dini zingine waige mfano huu.
 
Hilo ni jambo jema. Ni vema na viongozi wa dini zingine waige mfano huu.
Bakwata na Katoliki ndio mfano bora wa KULIENDELEZA TAIFA HILI NA MSHIKAMANO WAKE...

Abarikiwe sana baba Askofu Ruwa'ichi aaamin aaaamin🙏

#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#NchiKwanzaKablaYaYeyoteNaChochote
 
Jumbe Brown Yehodaya unaongea ujinga mtupu au ni dalili ya kukurupuka,Askofu amesema mwaka jana 2020 waumini wa RC walimwomba Mwenyezi MUNGU chanjo ipatikane na imepatikana,na hvyo anawashauri mapadre wakachome chanjo-Punguza mihemuko
 
Ficha ujinga mkuu,sala ya kuombea janga la CORONA iliidhinishwa na TEC na ilikuwa inasaliwa makanisa yote katoliki Tanzania.Sasa ulitaka waje wakusalie na huko msikitini kwako wakati wewe siyo mroma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…