LGE2024 Dar: BAKWATA yahimiza ushirikiano baada ya uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.

Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya nchi. Amesisitiza kuwa mshikamano wa kitaifa ni nguzo muhimu ya kuleta ustawi wa kijamii, kiuchumi, na kisiasa.

Aidha, Alhaji Mruma aliwakumbusha Watanzania kuheshimu misingi ya amani na upendo miongoni mwao ili kuepusha migawanyiko inayoweza kudhoofisha juhudi za kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo endelevu.

PIA SOMA
- LGE2024 - Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi
 
LINAPOTOKEA TATIZO KATIKA JAMII

Siku moja, kabila la Quraishi lilikuwa likijenga upya Al-Kaaba baada ya kuharibiwa na mafuriko. Wakati wa kazi hiyo, walifikia hatua ya kuweka Al-Hajar Al-Aswad (Jiwe Jeusi) mahali pake. Jiwe hilo lilikuwa na umuhimu mkubwa wa kidini, na kila kabila lilitaka heshima ya kulibeba na kuliweka mahali pake. Hali hiyo ilisababisha mgogoro mkubwa kati ya makabila, na kila mmoja alihisi kuwa wao walistahili kufanya kazi hiyo ya heshima.

Mgogoro huo ulianza kuwa hatari, na baadhi walitishia kupigana. Kwa hekima na busara, mmoja wa wazee wa kabila alipendekeza suluhisho: kwamba mtu wa kwanza kuingia msikitini siku inayofuata aamue hatima ya jambo hilo.

Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, mtu wa kwanza kuingia msikitini alikuwa Mtume Muhammad (SAW), ambaye kwa wakati huo alikuwa kijana mchamungu anayejulikana kwa uaminifu na ukweli wake (Al-Amin). Wote walikubali kwa furaha kuwa yeye ndiye angeamua kwa sababu walikuwa na imani naye.

Mtume Muhammad (SAW) alifikiria kwa hekima na akapendekeza suluhisho lililoridhisha pande zote. Alichukua shuka na kuliweka Jiwe Jeusi juu yake. Kisha, aliwaomba viongozi wa kila kabila kushika pembe za shuka hiyo kwa pamoja na kulibeba hadi karibu na mahali pake. Baada ya hapo, Mtume (SAW) mwenyewe alilichukua jiwe hilo kwa mikono yake na kuliweka mahali pake.

Kwa hekima yake, Mtume Muhammad (SAW) aliondoa ugomvi uliokuwa unakaribia kuwa vita. Amani ilirejea kati ya makabila, na kila mmoja alihisi kuwa alikuwa sehemu ya heshima hiyo kubwa.

Funzo:
Hadithi hii inatufundisha kuwa kuongea haki, kutumia busara, na kutafuta suluhisho linalojumuisha kila mmoja ni muhimu katika kutatua matatizo katika jamii. Mtume Muhammad (SAW) alionyesha jinsi ya kuwaongoza watu kwa haki na hekima, akilinda umoja na amani.
 
View attachment 3164608

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.

Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya nchi. Amesisitiza kuwa mshikamano wa kitaifa ni nguzo muhimu ya kuleta ustawi wa kijamii, kiuchumi, na kisiasa.

Aidha, Alhaji Mruma aliwakumbusha Watanzania kuheshimu misingi ya amani na upendo miongoni mwao ili kuepusha migawanyiko inayoweza kudhoofisha juhudi za kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo endelevu.

PIA SOMA
- LGE2024 - Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi
Kwa kuwa naheshimu waislamu naishi nao kwa wema ninyamaze.kwanza asilimia kubwa ya waislamu hawatambui bakwata
 
View attachment 3164608

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.

Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya nchi. Amesisitiza kuwa mshikamano wa kitaifa ni nguzo muhimu ya kuleta ustawi wa kijamii, kiuchumi, na kisiasa.

Aidha, Alhaji Mruma aliwakumbusha Watanzania kuheshimu misingi ya amani na upendo miongoni mwao ili kuepusha migawanyiko inayoweza kudhoofisha juhudi za kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo endelevu.

PIA SOMA
- LGE2024 - Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi
Bakwata ni vibaraka wa kudumu wa ccm
 
Wasizwa wamekosa Elimu wapo wapo tu hawajui hata wafanye nini niliacha kuwafatilia hawa mapimbi walipouza Uwanja wa Keko ambao walipewa wajenge msikiti na shule wao wakauza kwa hela ndogo tu ili mradi wapate hela ya kula niliwadharau sana toka pale..
 
View attachment 3164608

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.

Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya nchi. Amesisitiza kuwa mshikamano wa kitaifa ni nguzo muhimu ya kuleta ustawi wa kijamii, kiuchumi, na kisiasa.

Aidha, Alhaji Mruma aliwakumbusha Watanzania kuheshimu misingi ya amani na upendo miongoni mwao ili kuepusha migawanyiko inayoweza kudhoofisha juhudi za kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo endelevu.

PIA SOMA
- LGE2024 - Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi
RC wakitoa tamko lazima milio ya vinyamkera itaanza kusikika..Hawa RC ndiyo waliotoa tamko enzi za Magu kuhusiana na issue ya kibiti wakati bakwata ikiwa imeufyata mkia. Kuna jamii za hovyo sana duniani.
 
Wanasikitisha sana. Wao wanawaza matumbo yao tu..
Sasa sijui ni elimu au umaskini ?!
 
Usiwapangie cha kusema, ulitaka wahamasishe vurugu km RC?
Vurugu zinahamasishwa na RC au Tamisemi wanaposhurutisha ccm wabaki madarakani? Bil wapinzani kutumia silaha za moto kuzuia uhuni wa vyombo vya dola, wapinzani wataendelea kuumizwa sana.
 
View attachment 3164608

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Watanzania wote kuungana na kushirikiana mara baada ya uchaguzi wa serikali kufanyika kwa amani.

Akizungumza kwa niaba ya Baraza hilo, Katibu Mkuu wa BAKWATA, Alhaji Nuhu Mruma, aliwasihi wananchi kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa kwa lengo la kuimarisha maendeleo ya nchi. Amesisitiza kuwa mshikamano wa kitaifa ni nguzo muhimu ya kuleta ustawi wa kijamii, kiuchumi, na kisiasa.

Aidha, Alhaji Mruma aliwakumbusha Watanzania kuheshimu misingi ya amani na upendo miongoni mwao ili kuepusha migawanyiko inayoweza kudhoofisha juhudi za kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo endelevu.

PIA SOMA
- LGE2024 - Dodoma: Katibu wa BAKWATA, Askofu wasema kuna watu hawaitakii mema Tanzania, wanasambaza habari potofu kuhusu uchaguzi
hawa ndiyo viongozi wa dini sasa, kuhimiza umoja na mshikamano baina ya waTanzania, sio wale makhalakhancha wa akina ruwaichi na kitima, wachochea chuki na migawanyiko kwa waTanzania 🐒
 
Back
Top Bottom