pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kwahivyo mjerumani anaongea kizungu? Mfaransa pia? Acha kuvuta hiyo kitu bana. Kunywa maziwa! Si lazima uchape ung'eng'e ndo uonekane mjanja mbele ya wakenya, jielimishe kwanza mbumbumbu wa mwisho kati ya mavichwa boga wote wewe.πππKizungu ndio nini we mchuchu kirashia, kipoland, kiitalia, kireno, kijerumani, kifaransa, kihispaniola, au? Sababu hao wote ni wazungu that shows how lowlife you are
siku hizi unaishi kigali?...nairobi umehama lini?.lemme show you the cleanliness and orderliness of Kigali.
pitia comments zote mpaka mwisho kisha uone upumbavu wako ulipofikiaππsiku hizi unaishi kigali?...nairobi umehama lini?.
dar vs nairobi + kigali....[emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
We pimbi kiswahili fasaha ukisema "mzungu" umemaanisha European not even American, ndio mana kinaitwa kiingereza original from England. alafu eti nionekane mbele ya nanii? You stupid bastard piece of shit nani ana muda?Kwahivyo mjerumani anaongea kizungu? Mfaransa pia? Acha kuvuta hiyo kitu bana. Kunywa maziwa! Si lazima uchape ung'eng'e ndo uonekane mjanja mbele ya wakenya, jielimishe kwanza mbumbumbu wa mwisho kati ya mavichwa boga wote wewe.πππ
Da! Mtu akisha kuwa na Chuki nawe haishi VijisababuJamaa anaingiaga kama MOTOCHINI na mkono wake wa Kulia afu anachapa kiswahili freshi tu. REDEEMER anaingia na ule mkono haramu afu anachapa ung'eng'e gushi! Sasa hivi amejiita, 'Ladies and Gentlemen what you are about to witness is magic in the making!' Jamaa anajipigia simu afu anarisivu yeye mwenyewe!πππ Acha nitafute popcorn MK254 Amicus Curiae, njoo hapa kwa dharula.
Dah! Hii povu yote ya nini? Yaani umeingia nayo sasa hivi tu au ndo povu ya pacha wako hapo juu imeingia na osmosis? Hehe! πDa! Mtu akisha kuwa na Chuki nawe haishi Vijisababu
ukichezea maji lazima ata lalamika wamtimulia vumbi
Kwa taarifa yako Id ya MOTOCHINI ndio Id mpya kabisa humu Jf
Sijafungua Id mpya zaidi ya hii toka 2014
Mbona mada nzuri tu
ndugu yetu kaleta Habari jikite kwenye Mada wacha kujadili Id ya mtu
aisee hawa jamaa nimewakubali,game changerView attachment 589959 Hii company ya Green City nimeitambua uwepo wake nchini zaidi ya miaka mitano sasa wanayo vifaa vya kisasa
View attachment 589960
ambavyo najua nchi nyingi kama sio zote hapa East Africa and Central hawana huu ni ukweli mchunguView attachment 589963
Magari yao yapo very modern and elegant sababu yana capacity kubwa ya ubora ukiongea kuhusu kuanzia kusugua lami kwa brash, kuosha lami kwa maji na sabuni na kuondoa au kuvuta vumbi na michanga yenye dimensions tofauti. View attachment 589964
Pia naona wanahusika na umwagiliaji na utunzaji wa miti na bustani za jiji vyemaView attachment 589961 hili ni swala la kupongezwa na kupigiwa chapuo kwa kweli nataka watu kama hawa wenye vifaa vya kisasa ndio wawe wanapata tenders kwenye Halmashauri za Majiji kwenye swala zima la usafi wa jiji.View attachment 589967
Arusha pia nimeona wanalo gari la Halmashauri la aina hii na lipo njema kwenye usuguaji wa lami kisasa zaidi.
View attachment 589965
View attachment 589968 View attachment 589962
Ama kwa hakika mnogo unakolea zaidi pale tunaposhuhudia utimamu wa technology yao pale wanapoukatili uchafu usiku wa manane bila hiyana hivyo kuondoa mnyukano wa foleni za magari kama wangefanya mchanaView attachment 589976 View attachment 589977
Mtaa wa pili Nafikiri Habari mmeipata wazee wa mafagio aka wala vumbi.

Sasa ndo umekumbuka unajua kiswahili? Matusi na povu ndo zako? Hehe! Tulia kijana. Ukiambiwa tumia kiswahili, hujui kiingereza kama imeuma sana si inabidi uende tu English Medium? Mambo rahisi, acha stress!We pimbi kiswahili fasaha ukisema "mzungu" umemaanisha European not even American, ndio mana kinaitwa kiingereza original from England. alafu eti nionekane mbele ya nanii? You stupid bastard piece of shit nani ana muda?
mambo yanabadilika mdogo wangu,that was then,mbona tukiongelea nchi inayoongoza kwa ugaid subsaharan hatuiweki Kenya?sababu it was back thenunazungumzia cleaning company ama usafi wa mji? ππππ kwa usafi, sorry mi natambua kigali tu...period
mambo ya ugaidi imetoka wapi sasa? smhπππnashuku elimu yenu...kisha kenya haina ugaidi...somalia ndio kuna ugaidi...al shabaab ni wa wapi?...wewe boya nini?ππ there is no terror organization in Kenya..mfano, ISIS imefanya mashambulizi USA France na germany...sasa hizi nchi zinaongoza kwa ugaidi sio?ππmambo yanabadilika mdogo wangu,that was then,mbona tukiongelea nchi inayoongoza kwa ugaid subsaharan hatuiweki Kenya?sababu it was back then
Tutafute room ili tukufanye nini mkuu?Mnajitekenya afu mnacheka wenyewe? Simtafute room basi, hapa kuna ma under 18. Afu andikeni kwa kiswahili tu hamna haja ya kujipa high blood presha mkilazimisha kizungu!
Safi sana kwa kuelewa somo langu kwa kutamka "Kiingereza" badala ya kizungu.Sasa ndo umekumbuka unajua kiswahili? Matusi na povu ndo zako? Hehe! Tulia kijana. Ukiambiwa tumia kiswahili, hujui kiingereza kama imeuma sana si inabidi uende tu English Medium? Mambo rahisi, acha stress!
povu limekutoka kusikia ugaidi?ok lets say what happened inside westgate wasnt terror it was jst kids playing hide and seek,point yangu ni kwamba mambo yanabadilika tena kwa speed kubwa,yaani ikitokea siku Kibera ikawa th cleanest slum siwezi kataa maana najua mambo yanabdilika so does everythngmambo ya ugaidi imetoka wapi sasa? smhπππnashuku elimu yenu...kisha kenya haina ugaidi...somalia ndio kuna ugaidi...al shabaab ni wa wapi?...wewe boya nini?ππ there is no terror organization in Kenya..ISIS imefanya mashambulizi USA France na germany...sasa hizi nchi zinaongoza kwa ugaidi sio?ππ
murua kabisaKabisa ndugu
kwasasa
Jiji linapendeza
rudi shuleni uitishe pesa zako...ππelimu mbaya maisha mabaya...kusema kenya ina ongoza kwa ugaidi ni ujinga...mbona USA kumekuwa na ugaidi hata zaidi ya Kenya ila hatuwez tukasema USA ni nchi ya kigaidi...povu limekutoka kusikia ugaidi?ok lets say what happened inside westgate wasnt terror it was jst kids playing hide and seek,point yangu ni kwamba mambo yanabadilika tena kwa speed kubwa,yaani ikitokea siku Kibera ikawa th cleanest slum siwezi kataa maana najua mambo yanabdilika so does everythng
umeona hivyo vifaa lakini?rudi shule uitishe pesa zako...ππelimu mbaya maisha mabaya..