View attachment 589959 Hii company ya Green City nimeitambua uwepo wake nchini zaidi ya miaka mitano sasa wanayo vifaa vya kisasa
View attachment 589960
ambavyo najua nchi nyingi kama sio zote hapa East Africa and Central hawana huu ni ukweli mchungu
View attachment 589963
Magari yao yapo very modern and elegant sababu yana capacity kubwa ya ubora ukiongea kuhusu kuanzia kusugua lami kwa brash, kuosha lami kwa maji na sabuni na kuondoa au kuvuta vumbi na michanga yenye dimensions tofauti.
View attachment 589964
Pia naona wanahusika na umwagiliaji na utunzaji wa miti na bustani za jiji vyema
View attachment 589961 hili ni swala la kupongezwa na kupigiwa chapuo kwa kweli nataka watu kama hawa wenye vifaa vya kisasa ndio wawe wanapata tenders kwenye Halmashauri za Majiji kwenye swala zima la usafi wa jiji.
View attachment 589967
Arusha pia nimeona wanalo gari la Halmashauri la aina hii na lipo njema kwenye usuguaji wa lami kisasa zaidi.
View attachment 589965
View attachment 589968 View attachment 589962
Ama kwa hakika mnogo unakolea zaidi pale tunaposhuhudia utimamu wa technology yao pale wanapoukatili uchafu usiku wa manane bila hiyana hivyo kuondoa mnyukano wa foleni za magari kama wangefanya mchana
View attachment 589976 View attachment 589977
Mtaa wa pili Nafikiri Habari mmeipata wazee wa mafagio aka wala vumbi.