pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Na kwa akili yako iliyo legea niambie nyinyi warundi lugha yenu halisi ni gani? Kama kiingereza wanavoongea watu wa huo upande wa pili Burundi itakuwa ni nini Profesa?Safi sana kwa kuelewa somo langu kwa kutamka "Kiingereza" badala ya kizungu.
Jua zaidi
Fasaha tunaita Kiingereza sababu kiasili ni lugha ya England au kwa kiswahili Uingereza sio kizungu kama mlivyozoea akili fupi.
Hii lugha ya Bujumbura huwa siielewi! Tafsiri tafadhali!Kamuulize mamako
Umepanic brother, get some water.mambo ya ugaidi imetoka wapi sasa? smh😀😀😀nashuku elimu yenu...kisha kenya haina ugaidi...somalia ndio kuna ugaidi...al shabaab ni wa wapi?...wewe boya nini?😀😀 there is no terror organization in Kenya..mfano, ISIS imefanya mashambulizi USA France na germany...sasa hizi nchi zinaongoza kwa ugaidi sio?😀😀
nimetoa povu kidogo ila niko sawa mkuu...Umepanic brother, get some water.
bora useme wewe,nikisema Mimi wanasema nawachokoza.Povu, hasira na machungu ya wakenya vimedhihirika kwenye huu Uzi,
Aisee sijawahi ona povu la namna hii...
Na bado, the coming 10 years hatutakuwa level yenu tena.
nimepitia,lakini comment zako zote ulizoweka kwenye thread hii ni povu na kulia kulia mwanzo mwisho....sijaona cha maana ulicho andika.[emoji23] [emoji23] [emoji23]pitia comments zote mpaka mwisho kisha uone
sidhani kama kakuelewa...itabidi a-google sana.Stupide comme vous, il vaut mieux vous arrêter parce que vous n'avez aucun sens
Utaongea hadi kibanyamulenge we mrundi. Huna ujanja, ulishachemsha zamani sana kwenye kichwa cha mada yako. Ingefaa iwe Dar city cleaning services smartest in East and Central Africa. Sasa hapo .....in East Africa and central...ndo central what? Central Tanganyika? Central African Republic au? Kuwa mpole nilitaka kukurekebisha hapo tu lakini povu likakuzidi. Usiwe na haraka kiingereza huwa kinaingia tu mos mos! 😀Stupide comme vous, il vaut mieux vous arrêter parce que vous n'avez aucun sens
we nawe huishiwi vijembe...[emoji23]Utaongea hadi kibanyamulenge we mrundi. Huna ujanja hapo ulichemsha zamani sana kwenye kichwa cha mada yako. Ingefaa iwe .....in East and Central Africa sasa hapo .....and central....? ndo central what? Tanganyika Central African Republic au? Kuwa mpole nilitaka kukurekebisha hapo tu lakini povu likakuzidi. Kiingereza hakitaki haraka, huwa kinaingia tu mos mos.😀
Umeiona Kigali lakini?Kabisa ndugu
kwasasa
Jiji linapendeza
Oyeeeee! Nakusoma dada!sina mengi,
ila napenda kujisifu,mada zangu,kuna watu wananisoma,
Rebeca oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee