saab113-360
Member
- Mar 1, 2017
- 71
- 95
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chasis bei gani mkuu?Haya kwa maelezo hiyo ni scania yenye chasis na engine ya bus pure F95HB310 , ina TV 7 full air condition , friji , USB charging system , hapo ni kwamba mteja anaenda scania Tanzania kununua chasis then anaipeleka dar coach kutengenezewa body anayoipenda kulingana na pesa yake.
Chasis inategemeana Mkuu kuna za 4x2 yaani super single na 6x2 hii ni terious, bei za Tanzania siko nazo aware ila kwa upande wa Kenya nazijuaChasis bei gani mkuu?
Kwa upande wa Kenya?Chasis inategemeana Mkuu kuna za 4x2 yaani super single na 6x2 hii ni terious, bei za Tanzania siko nazo aware ila kwa upande wa Kenya nazijua
Inasaidia kumpunguzia machungu mzalishaji kwa kuwa anaagiza vitu vingi nje kwa usd! Ila ukienda na tsh yenye thamani sawa ya usd wakt huo unanunua, hili suala hata kwa wazalishaji wa sukari na majani ya chai wanalifanya sana, wanauza grade one nje ili kupata usd kupoza machungu ya kuagiza spea nje!...Hivi bei wakiweka kwa TZS ndo hawataeleweka?
Hapana,hiyo bei ni ghali mno(485+m/-) lakini ni nafuu sana kwani bei ya Luxury Coach Scania inafika hadi 1bn/-!Nimeona hii kitu nikawa nafikiria bila kupata majibu yaani bus moja ni tshs.484milioni!? ASA utapata faida kweli!? Labda kama walikosea hizo figure
Wacha bwana kumbe ukiwa na million 150 tu kwa 1Bado sana.Yaani hiyo $ 217,000 napata YUTONG tatu mpya kali kabisa
6x2 hii ni terious yenye tairi mbili mbele na sita nyuma $103,000+ vat.Kwa upande wa Kenya?
naamini serikali wanaona ushauri wakoIli kuwawezesha wazawa serikali ipige marufuku uingizaji wa mabasi kutoka nje, hizi za mchina iko kwenye lami inarukaruka utafikiri umepanda fuso la mchanga.
kwanini mkuuhabari kama hizi huwa zinafanya nipate usingizi
Sawa mkuusidhani kama uko sahihi
Mkuu hivi gari kuwa na matairi sita nyumba inakuwa na faida gani6x2 hii ni terious yenye tairi mbili mbele na sita nyuma $103,000+ vat.
4x2 hii ina tairi 2 mbele na nne nyuma $ 90,000+vat.
Hapo ukinunua utatakiwa either ukaichongee body kwa builder wao walio mchagua ambae amepewa standards maana unapouziwa chasis lazima inakua na warrant kwa hiyo na wenyewe lazima wahakikishe body inakua na viwango
Tairi sita inaongezeko la abiria tofaut na tairi nne pia gari ya tairi sita nafasi ya kuwekea miguu inakua ni kubwa seat hazibani miguu, na gari ya tairi sita inakua na urefu wa mita 12.5-13.Mkuu hivi gari kuwa na matairi sita nyumba inakuwa na faida gani
Tofauti na kuwa na tairi nne???
Pia kwenye mizani insaidia sana gari ya tairi sita haiwezi kuzidi ndo maana kina taqwa ,falcon wanazile Nissan diesel wamezipiga tairi sita na zina beba mizigo mikubwa sana mizani hazizidi.Mkuu hivi gari kuwa na matairi sita nyumba inakuwa na faida gani
Tofauti na kuwa na tairi nne???
Kienyeji hivyo?Ili kuwawezesha wazawa serikali ipige marufuku uingizaji wa mabasi kutoka nje, hizi za mchina iko kwenye lami inarukaruka utafikiri umepanda fuso la mchanga.