Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

Dar coach wanastahili kupongezwa, bodi zao wanatengeneza bora na zenye mwonekano mzuri kuliko zile za kikenya. huwezi amini kama zinatengenezwa hapa bongo. magari yao yanakimbia balaa na ni imara kuliko ya wachina hayo. kwa wale wa mwanza kahama bukoba watakuwa wanazijua kisbo na kina leina.
 
Hivi ndio viwanda tunavyovizungumzia
 
Kilimanjaro bus usigope kusema
Awali alikua ana modify youtong akaona ujinga,
Sawaya ndio kichwa cha modify malori na mabasi nchi hii.
BoxBody=dump=bus=tanker=semi=pulling=boxbody kipisi
Hakumodify yutong,ila kipindi kile yutong f11 zinatoka takribani mwaka 2011 alizinunua kama tatu hivi ili kuonja ladha ya mchina,matokeo yake hakuzipenda hivyo akaamua kuzifumua engine na kuweka injini za malori yake
 
Hili mkuu nilishangaaa sana yan cage ya kuku 4800 ni 32m kwa bongo ila china ni 8 to 10m
 
Million zaidi ya 470, hapo bado sijalisajili TRA, SUMATRA.......wakati Yutong au higer au zhongtong kwa pesa hiyo linakua barabarani na coaster 4 mpya nimenunua....

Changamoto bado mnayo tena kibwa aise
 
Scania kwa sasa bado ndio bus linalo ongoza kwa ubora na uimara kwahiyo bei zake ni ndefu lkn ni gari linalo himili safari
Scania inaongoza kwa ubora na uimara kwa nchi masikini lakini sio huko duniani.......
 
Mbona kimbinyiko zina miaka 6 hazijabadilishwa engine wala box
 
Hakumodify yutong,ila kipindi kile yutong f11 zinatoka takribani mwaka 2011 alizinunua kama tatu hivi ili kuonja ladha ya mchina,matokeo yake hakuzipenda hivyo akaamua kuzifumua engine na kuweka injini za malori yake
hehehehe we bwana unahatari😀😀
 
kila mtu na mapenzyake, abiria wanapenda gari za kichina sababu ya uluxury wake ndio maana hata dar coach wameliona hilo
mkuu falcon hivi zile bus zainabu ilikua miaka ya 2000 mwanzoni zilikua aina ya volvo zilipoteleaga wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…