Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

Maneno ni mazuri sana, lakini wateja wanapenda zile body za kichina kwa muonekano wake. Wangejitaidi kuboresha muonekano wake bila ivyo ngoma nzito biashara ina ushindani sana.
Tatizo wateja wengi wanapenda youtoung mchina
 
Hata dar coach anatengeneza basi kama ya mchina tuu havina tofaut labda teknolojia maana material anachukulia China kwa hiyo ukitaka yenye mwonekano wa kichina eg sitting configuration, air con na automatic door's ni hela yako nenda angalie dar exp zile crystal plate no T*** DBU ni imetengenzwa dar coach ila interior yake kama bus za mchina tuu, alafu watu wanachanganya China wao wanaunda body eg yutong, zhongtong au higer alafu chasis na engines zinatengezwa USA ni za cummins
 
Maneno ni mazuri sana, lakini wateja wanapenda zile body za kichina kwa muonekano wake. Wangejitaidi kuboresha muonekano wake bila ivyo ngoma nzito biashara ina ushindani sana.
Tatizo wateja wengi wanapenda youtoung mchina
Mkuu huo utafiti wako umeufanya lini wa kuonyesha kuwa wateja wengi wanapenda mabasi ya kichina?siyo kweli kwani kwa sasa wateja wanapendelea sana mabasi ya scania japo hilo haliondoi ukweli wa mabasi ya kichina kupata abiria kwani ndiyo mengi yaliyopo sokoni
 
Kwani Bus za kichina kwa hela yetu ya madafu kwa sasa zinauzwa sh.ngapi?
 
Sio utani Mkuu, ukitaka nenda kachonge la kawaida kwa 120mil
Iyo akichonga atapanda yeye na family yake [emoji128]. Kwanza iyo itakuwa Eicher au UDA. Biashara ya magari sio biashara ya kitoto inataka mitaji na sio bei za kubembelezaa kuna watu wengi wameweka mitaji yao mikubwa katika izo biashara.
Watu wana boresha kulingana na wateja wanataka nn?
 
Ndio maana watu wengi wanakwambia ukitaka kuona maajabu ya Tanzania, njoo UBUNGO BUS [emoji591] TERMINAL.
Njoo asubuhi uone matajiri wa Tanzania walivyo na umiliki wa magari, ndio ukitoka apo ukajitathimini kama iyo milioni 480, ni pesa au? Maana mtu ana magari ya milioni 700, kama 20 yote yanaondoka siku iyo iyo
 
Maneno ni mazuri sana, lakini wateja wanapenda zile body za kichina kwa muonekano wake. Wangejitaidi kuboresha muonekano wake bila ivyo ngoma nzito biashara ina ushindani sana.
Tatizo wateja wengi wanapenda youtoung mchina
Wateja wa wapi? Mi naona wateja wa luxury wanapenda Marcopolo mixed na Scania. Useme hao wamiliki wamekalia michina kwahiyo wateja hawana uchaguzi. Unakumbuka Paradiso za scandinavia?
 
Wafanyabiashara wengi hawataki kuwekeza pesa nyingi hivo kwenye scania na kukimbilia za mchina sababu akinunua mchina kabla halijaharibika tayari linakua limezaa lingine,kuliko kutoa 450m kwa bus moja anaona itachelewa kumlipa.

Haujiulizi hata tajiri namba 1 afrika anatumia trucks za Howo?
 
Kwanza mbali na yote Hongera kwa kumiliki biashara ya magari na kuwepo katika hii Mitandao ya kijamii, hasa hasa Jamii Forum. Maana wamiliki wengi wa magari wanakuwaga wapo nyuma sana na maswala ya technology na elimu pia. Swali langu je hii changamoto ya biashara upoje ukizungumzia upande wa serikali katika maswala ya kodi. Na vip? Kuhusu wateja wanapendelea mchina au Scania
 
Dar coach ni kampuni ya kutengeneza body za mabasi inamilikiwa na wahindi wakati Dar exp ni kampuni ya usafirishaji ya Mzee Mremi
nikajua mzee mremi ndio mmiliki
shukrani kwa kunijuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…