Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

OTE="falcon mombasa, post: 20939960, member: 277389"]mkuu nashukuru kwa ushauri wako ila mimi sio mtu wa siasa kabisa pia mimi ni raia wa kawaida tu mkuu, serikali inapoteleza tunaikumbusha[/QUOTE]


Rais Magufuli awatakia heri ya Pasaka Watanzania wote
hatutaki

Angalia sasa chuki za wazi, ndo maana nikakushauri tafuta USERNAME nyingine uwe unajiachia...... HII SI NZURI SANA KWA BIASHARA
 
Nimeona hii kitu nikawa nafikiria bila kupata majibu yaani bus moja ni tshs.484milioni!? ASA utapata faida kweli!? Labda kama walikosea hizo figure
mwambie magu aangalie upya kodi!!
 
Tanzania wengi wanapenda vitu vya bei rahisi bila kuangalia ubora wa hivyo vitu ndo maana utakuta watu wengi wanamiliki michina wao twende tu. Mimi ni mmoja ya watu wanafikiria ubora wa kitu dhidi ya bei yake
Mazingira ya kiuchumi kaka ndo yanachangia kupenda cheapest..
 
Back
Top Bottom