falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
- #61
hehehehe hilo jibu ulilompa si mchezoSio utani Mkuu, ukitaka nenda kachonge la kawaida kwa 120mil
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehehe hilo jibu ulilompa si mchezoSio utani Mkuu, ukitaka nenda kachonge la kawaida kwa 120mil
Jiandae na fine kwenye mizani kila siku, maana baada ya mseto huo wote linazaliwa lidude moja lizitooo... Ila imara sana!!Mkuu, jamaa yuko sawa, kuna bus aina ya scania irizah, lastime nilicheck bei yake like 3yrs ago ilikua inagusa 700mil na zaidi. Ukitaka bus zuri la bei rahisi, nunua kipisi Uingereza, toa cabin, refusha chasis then kanunue body ya marcopolo south africa valisha, hapo unaweza kutumia kama 250mil hivi.
Fafanua....au kma vipi uache uongoBado sana.Yaani hiyo $ 217,000 napata YUTONG tatu mpya kali kabisa
Nimeona hii kitu nikawa nafikiria bila kupata majibu yaani bus moja ni tshs.484milioni!? ASA utapata faida kweli!? Labda kama walikosea hizo figure$217,000 × 2230= Tshs 483,910,000.
Muwe mna acha Ujinga.
Hilo ni Bas au Bombadier ya Magufuri?
Ngoja nikupe siri, hiki ndicho anachofanya Mtu flani hivi maarufu sana njia ya kaskazini kwa huduma bora.Jiandae na fine kwenye mizani kila siku, maana baada ya mseto huo wote linazaliwa lidude moja lizitooo... Ila imara sana!!
Aaaa nyingi sana afadhali bas jipya na chanchi yabakiMkuu hapo ni karibu milioni mia 4 na kitu tayari una bus la kichina na unakopeshwa moja
Kweli watu mpo gizani, hapa hapa Tanzania ubungo hapo kuna bus za milion mia 7 unasema bei hiyo? Hivi unafikiri zile Marcopolo za Abood na Hood walinunua sh ngapi? Milion mia 5 na kitu, ila guarantee yake ni miaka 10.. Msione vyuma vya watu vipo road mkachukulia poa! Unazungumzia faida? Unajua scania r au g mpya ya kwenye makaratasi inauzwa bei zaidi ya hiyo iliyotajwa kwenye haya mabus? Hapo ni horse tu hujagusa trailer? Hiyo ni bei ya kawaida sana Mkuu.Nimeona hii kitu nikawa nafikiria bila kupata majibu yaani bus moja ni tshs.484milioni!? ASA utapata faida kweli!? Labda kama walikosea hizo figure
Kwani hili linakua sio jipya? Ni jipya pia.Aaaa nyingi sana afadhali bas jipya na chanchi yabaki
Nyinyi ccm ndio mmesababishi hizi chuki mkae kimya kabisaFALCON MOMBASA.... ambaye unajiweka wazi kuwa ndiye DAR COACH huku ukipigiwa chapuo na SAAB 113-360
Labda nikupe ushauri wa bure..... ni heri kutengeneza USER NAME nyingine ambayo ni ya SIASA zaidi...
huwa unajichanganya kuonyesha ushabiki wa kivyama huku ni MFANYABIASHRA..... Katika wateja wako kuna baadhi ni watu wa vyama vingine...... ambao wanamiliki mabasi na wengine wanataka kumiliki.....
TRA hata siku Chadema itawale watumishi watabaki ni walewale..... serikali ni ile ile......
CHUKI ZAKO KWA SERIKALI...... CHUKI ZAKO KWA CHAMA...... ZITENGANISHE NA BIASHARA YAKO
wanasema wanajenga body vp kuhusu injiniKwani hili linakua sio jipya? Ni jipya pia.
achana nae huyo nguruwe wa lumumba,kwani hajui kuwa serikali yake ya ccm ndio imeleta hizi chuki..mkuu nashukuru kwa ushauri wako ila mimi sio mtu wa siasa kabisa pia mimi ni raia wa kawaida tu mkuu, serikali inapoteleza tunaikumbusha
Mkuu mm si mjuz sana wa haya mambo ila nisikiavyo 300 unapata bas jipya zongtongKweli watu mpo gizani, hapa hapa Tanzania ubungo hapo kuna bus za milion mia 7 unasema bei hiyo? Hivi unafikiri zile Marcopolo za Abood na Hood walinunua sh ngapi? Milion mia 5 na kitu, ila guarantee yake ni miaka 10.. Msione vyuma vya watu vipo road mkachukulia poa! Unazungumzia faida? Unajua scania r au g mpya ya kwenye makaratasi inauzwa bei zaidi ya hiyo iliyotajwa kwenye haya mabus? Hapo ni horse tu hujagusa trailer? Hiyo ni bei ya kawaida sana Mkuu.
jamaa ananituhumu kwa herufi kubwa kabisa ningekuwa machoni mwake angenichinjaachana nae huyo nguruwe wa lumumba,kwani hajui kuwa serikali yake ya ccm ndio imeleta hizi chuki..
Engine wanakufungia mpya inayokuja na gearbox na diff yake ndio maana hiyo bei imechangamka hivyo! Ingekua ni engine ya mtumba isingekua bei kubwa hivyo, si inajua engine ya mtumba ya scania unaweza kupata hata kwa less than 12mil.wanasema wanajenga body vp kuhusu injini
Sasa huyo ni mchina Mkuu, within 3yrs engine inakufa, scania wakikupa mashine mpya jua hiyo utatumia mpaka uikinai.Mkuu mm si mjuz sana wa haya mambo ila nisikiavyo 300 unapata bas jipya zongtong
Ok halafu nadhan engine za mabas hiz hata kama ni scania naona kama bas linachnganya upesi kuliko scania ya mzigo kuna udambwidambwi wanaufanya nn?Engine wanakufungia mpya inayokuja na gearbox na diff yake ndio maana hiyo bei imechangamka hivyo! Ingekua ni engine ya mtumba isingekua bei kubwa hivyo, si inajua engine ya mtumba ya scania unaweza kupata hata kwa less than 12mil.
Sasa hapa umeongea bang......fikiria bas lina beba nn na lor lina beba nnOk halafu nadhan engine za mabas hiz hata kama ni scania naona kama bas linachnganya upesi kuliko scania ya mzigo kuna udambwidambwi wanaufanya nn?
Mkuu engine za kwenye bus nyingi yazo ni 90 series, mpaka sasa wanatoa hizi 95 mpya kama ambazo wamezitangaza kwenye huu uzi, kinachofanyika ni kile kile ingawa wengine wanasemaga mambo ya kubana pump ila kuchanganya haraka ni kwamba ile engine inaweza kubeba tani 15 mpaka 20 hivi, ila likipakia abiria na mizigo yao inakua na kama tani 8 au pungufu, so gari inakua nyepesi sana hata gear hazichukui muda kuchanganya!Ok halafu nadhan engine za mabas hiz hata kama ni scania naona kama bas linachnganya upesi kuliko scania ya mzigo kuna udambwidambwi wanaufanya nn?
Kuna zile champion za dom duh kitu kinakula abiria 70+Jiandae na fine kwenye mizani kila siku, maana baada ya mseto huo wote linazaliwa lidude moja lizitooo... Ila imara sana!!