Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina magari siyo baiskeliToa basi ukweli wako?hivi umeshawahi kununua hata baiskeli kwa pesa yako?
Mkuu hiyo ni kwa upande wa scania ni tofauti na haya ya wachinaMmmmh kumbe mabasi huwa na bei hivo
Mkuu wacha kucheza na scania$217,000 × 2230= Tshs 483,910,000.
Muwe mna acha Ujinga.
Hilo ni Bas au Bombadier ya Magufuri?
Scania kwa sasa bado ndio bus linalo ongoza kwa ubora na uimara kwahiyo bei zake ni ndefu lkn ni gari linalo himili safari$217,000 × 2230= Tshs 483,910,000.
Muwe mna acha Ujinga.
Hilo ni Bas au Bombadier ya Magufuri?
naikubali sana hii gari wheel cap zake zinanikosha vibaya mno
Hivi imewezekana vipi kwamba huu uzi hauna hata picha ya hilo bus la 217,000$?
View attachment 503534
Hapo lumumba ee? Majinga hayaishiBado sana.Yaani hiyo $ 217,000 napata YUTONG tatu mpya kali kabisa
Lumumba ndio chem chem ya majingaHapo lumumba ee? Majinga hayaishi