Dar Coach wazidi kushusha bei zao za uundaji body za mabasi

aisee hivi sis tunaopenda chini tunaweza kuja kufungua kampuni dizaini hii kweli? maana nusu ya mshahara unaishia kuhonga na mambo kama hayo.
 
Huu Uzi ungeuweka kwenye jukwaa la WAKENYA UNGEKAA POA
 
Watu wanasahau kuwa value ya tsh vs USD ni vitu wiwili tofauti mfano ungekuta ni kwa majirani zetu Kenya ni Ksh 23mln sasa hapo tujiongeze kama watz
 
Duh!! nilikuwa sijui kumbe ukiona mtu ameweka mabasi zaidi ya kumi barabarani inatakiwa kumheshimu aisee.....
 
$217,000 Γ— 2230= Tshs 483,910,000.

Muwe mna acha Ujinga.
Hilo ni Bas au Bombadier ya Magufuri?
mkuu hiyo bei mbona nafuu sana, kumbuka hiyo ni scania sio Zongtong, zile Marcopolo za scandinavia express hadi leo ziko barabarani wakati youtong za juzi ziko juu ya mawe,
 
Ili kuwawezesha wazawa serikali ipige marufuku uingizaji wa mabasi kutoka nje, hizi za mchina iko kwenye lami inarukaruka utafikiri umepanda fuso la mchanga.
 
Punguza uwongo wewe nani kakwambia ?au unaongea neno bila kulijua?wacha kurukia rukia mambo ya kiweredi
....Kwa sisi tunaowasoma hapa hatujui nani mkweli between you two, weka ukweli wako hapa lakini kusema tuu punguza uwongo au nani kakwambia haisaidii...
 
....Kwa sisi tunaowasoma hapa hatujui nani mkweli between you two, weka ukweli wako hapa lakini kusema tuu punguza uwongo au nani kakwambia haisaidii...
Mkuu kwanza tiririka na uzi utayakuta hayo unayohitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…