Dar: Conrad Agonza Kayoza aliyeshambuliwa na Trafiki, kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Habari Wakuu

Leo tarehe 10.09.2026 majira mchana mtuhumiwa aliyeshambuliana na askari traffic maeneo ya Mwnge jijini Dar, atafikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni, Dar es Salaam.

Kumbuka Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam.

Tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2026 majira ya saa 1:30 asubuhi kwenye Barabara ya Bagamoyo.

Kumbuka huyu Trafiki alichomoa ufunguo wa gari na kumzuia Daktari kuendelea na safari.

Mtuhumiwa alikuwa anawahi mufanyia Operation mgonjwa Hospitalini ila trafiki hakutaka kuelewa. Ndipo katika kunyang'anyana ufunguo, ugomvi ukatokea. Mmoja anataka Rushwa, mwingine anataka kuokoa uhai wa mtu.

Soma

1789037902474.jpg
 
Habari Wakuu

Leo tarehe 10.09.2026 majira mchana mtuhumiwa aliyeshambuliana na askari traffic maeneo ya Mwnge jijini Dar, atafikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni, Dar es Salaam.

Kumbuka Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam.

Tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2026 majira ya saa 1:30 asubuhi kwenye Barabara ya Bagamoyo.
ok. :1Head:
 
Kumbuka huyu Trafiki alichomoa ufunguo wa gari na kumzuia kuendelea na safari. Mtuhumiwa alikuwa anawahi mufanyia Operation mgonjwa Hospitali ila trafiki hakutaka kuelewa. Ndipo katika kunyang'anyana ufunguo, ugomvi ukatokea
Hawajampa kesi ya ugaidi?
 
Habari Wakuu

Leo tarehe 10.09.2026 majira mchana mtuhumiwa aliyeshambuliana na askari traffic maeneo ya Mwnge jijini Dar, atafikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni, Dar es Salaam.

Kumbuka Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam.

Tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2026 majira ya saa 1:30 asubuhi kwenye Barabara ya Bagamoyo.

Kumbuka huyu Trafiki alichomoa ufunguo wa gari na kumzuia kuendelea na safari. Mtuhumiwa alikuwa anawahi mufanyia Operation mgonjwa Hospitali ila trafiki hakutaka kuelewa. Ndipo katika kunyang'anyana ufunguo, ugomvi ukatokea. Mmoja anataka Rushwa, mwingine anataka kuokoa uhai wa mtu.
View attachment 3667513
Ugaidi/ uhaini watambambikia
 
Chama chake kimetoa tamko. Mwajiri ni Serilali
Ndio ni sereee na huyo trafik nae si ni seree? Au jeshiii lenyewe lilitoa taarifa kwa maana ya ulinzi na usalama wa raia lakini sio trafik?

Nnachomaanisha, Mloganzira/Muhimbili nao walitakiwa watoe tamko kuhusu mfanyakazi wao.

Huyu jamaa kama pasingekua na hizi picha na mitandao ya kijamii, angekua ameshatangulia mbele za haki.
 
he is done, anaenda jela kwa ujinga tu, tanzagiza kila mtu anataka kupiga, kama alikuwa na familia ndiyo hivyo tena.

next time hata wewe yanaweza kukuta, usijukulie sheria mkononi hata kama tanzagiza tunaishi kwa mazoea lkn sheria zipo, kosa kubwa sana kumshambulia na kumpiga law enforcement akiwa kazini kutekeleza majukumu yake, hakuna jinsi anaweza kuchomoka, swali linabakia was it worth it?

kuharibu career yako uliyoisotea kwa tabu na gharama kubwa and all came down to one moment ambapo angeweza kujizuia tu, sasa hata akija kutoka jela udaktari bingwa umeshayeyuka, hakuna atakayeweza kuajiri mtu aliyewahi kuhukumiwa na kufungwa jela, its sad lkn ndiyo hivyo, imeisha hiyo ...
 
Ni mara ngapi imetokea kuwa Daktari eti kapigana kwa sababu ya kutaka kuokoa maisha ya mgonjwa?

Na baada ya kumpiga Askari, huyo Daktari aliwahisha hayo matibabu kwa mgonjwa?

Kwa hiyo Mgonjwa Yuko wapi baada ya Daktari kupelekwa mahabusu siku 3?

Ni muda sahihi kusameheana kwa makosa yaliyotokea na iwe ni tafakari ya kina kwa pande zote.
 
Habari Wakuu

Leo tarehe 10.09.2026 majira mchana mtuhumiwa aliyeshambuliana na askari traffic maeneo ya Mwnge jijini Dar, atafikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kinondoni, Dar es Salaam.

Kumbuka Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam.

Tukio hilo lilitokea Septemba 8, 2026 majira ya saa 1:30 asubuhi kwenye Barabara ya Bagamoyo.

Kumbuka huyu Trafiki alichomoa ufunguo wa gari na kumzuia kuendelea na safari. Mtuhumiwa alikuwa anawahi mufanyia Operation mgonjwa Hospitali ila trafiki hakutaka kuelewa. Ndipo katika kunyang'anyana ufunguo, ugomvi ukatokea. Mmoja anataka Rushwa, mwingine anataka kuokoa uhai wa mtu.

Soma

Acha uongo mkuu, Tangu lini Physician anafanya Upasuaji, sema labda alikua anawahi hospitali kuona wagonjwa wenye matatizo ya ndani(Internal medicine).
 
he is done, anaenda jela kwa ujinga tu, tanzagiza kila mtu anataka kupiga, kama alikuwa na familia ndiyo hivyo tena.

next time hata wewe yanaweza kukuta, usijukulie sheria mkononi hata kama tanzagiza tunaishi kwa mazoea lkn sheria zipo, kosa kubwa sana kumshambulia na kumpiga law enforcement akiwa kazini kutekeleza majukumu yake, hakuna jinsi anaweza kuchomoka, swali linabakia was it worth it?

kuharibu career yako uliyoisotea kwa tabu na gharama kubwa and all came down to one moment ambapo angeweza kujizuia tu, sasa hata akija kutoka jela udaktari bingwa umeshayeyuka, hakuna atakayeweza kuajiri mtu aliyewahi kuhukumiwa na kufungwa jela, its sad lkn ndiyo hivyo, imeisha hiyo ...
Unakuta alipoteza ndugu au rafiki ile Oktoba 29. Alishikwa hasira na askari wetu wachapakazi.
Akifungwa atapoteza sifa ya kuajiriwa na serikali ila ataajiriwa taasisi binafsi au atajiajiri.
Hafutiwi leseni ya udakitari.
 
Hatimae kesi imeenda mahakamani ngoja tuone iwapo ulikuwa unatetea muomba rushwa au la.
Yes,
huyo jambazi aliemshambulia afisa wa usalama barabarani na kisha nae kushambuliwa na wananchi right?

sina haja ya kutetea mkiuka sheria gentleman :1Head:
 
Wewe unamtetea askari sababu unataka kutetea jeshi la polisi hujataka kujua story behind sasa kesi ipo mahakamani tutajua story behind ni kwanini daktari alipoteza reasoning akarisk career yake na kumshambulia askari aliye na uniform akiwa kazini.
 
Back
Top Bottom