Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kwamba sheria itambeba trafiki
Unadhani kwanini Daktari aamue kuweka carrier yake rehani na kufanya jinai ya kupigana na askari? Askari yeye hawezi kuwa mhalifu?Acha upuuzi we mbwa koko, hizo taarifa za kuchomoa ufunguo na kuwahi operation umeiokoteza wapi? Wapumbavu tu nyie nyumbu hamuwezi kushindana na jeshi la polisi. Huyo daktari gani mzembe asiyeweza kupangilia ratiba yake, kwa hiyo avunje sheria za barabarani kisa amechelewa operation? Angepanda AMBULANCE. Acha kujaenga hoja za kipuuzi
Yes,Sheria zipo na adhabu zipo sababu wavunjaji wapo ndo maana tuna mahakama.
Unaweza kuta hapo unatetea mtu anayetaka rushwa kwa mzalendo aliyevunja sheria kutokana na hasira ya kuichukia rushwa.

Hiyo si kwa daktari tu, hata huyo askari kama alifanya jinai ikapelekea hasira na hatimaye ugomvi anastahili haki yake.Yes,
wakiuka sheria wapelekwe mahakamani, na hata wakipiga mayowe na kutia huruma wahukumiwe sawasawa na makosa yao bila huruma wala kuwaonea haya![]()
ok sawa, mkatoe ushahidi mahakamani sasa na itapendeza zaidiHiyo si kwa daktari tu, hata huyo askari kama alifanya jinai ikapelekea hasira na hatimaye ugomvi anastahili haki yake.

Kwani wewe ni jeshi la polisi men maana unabweka na kutoa udenda kama mbwa wao?😃Acha upuuzi we mbwa koko, hizo taarifa za kuchomoa ufunguo na kuwahi operation umeiokoteza wapi? Wapumbavu tu nyie nyumbu hamuwezi kushindana na jeshi la polisi. Huyo daktari gani mzembe asiyeweza kupangilia ratiba yake, kwa hiyo avunje sheria za barabarani kisa amechelewa operation? Angepanda AMBULANCE. Acha kujaenga hoja za kipuuzi
he is done, anaenda jela kwa ujinga tu, tanzagiza kila mtu anataka kupiga, kama alikuwa na familia ndiyo hivyo tena.
next time hata wewe yanaweza kukuta, usijukulie sheria mkononi hata kama tanzagiza tunaishi kwa mazoea lkn sheria zipo, kosa kubwa sana kumshambulia na kumpiga law enforcement akiwa kazini kutekeleza majukumu yake, hakuna jinsi anaweza kuchomoka, swali linabakia was it worth it?
kuharibu career yako uliyoisotea kwa tabu na gharama kubwa and all came down to one moment ambapo angeweza kujizuia tu, sasa hata akija kutoka jela udaktari bingwa umeshayeyuka, hakuna atakayeweza kuajiri mtu aliyewahi kuhukumiwa na kufungwa jela, its sad lkn ndiyo hivyo, imeisha hiyo ...
Shangilia Sana mazira wanayoyapitia watanzania Ila mwisho wako hautotofautiana na wa polepole amini nakubia mkata viunosifahamu ndugu mtakatifu wa matusi![]()
Kumshambulia askari akiwa anatekeleza majukumu yake! Sijui itakuwaje hapo?
ok.Shangilia Sana mazira wanayoyapitia watanzania Ila mwisho wako hautotofautiana na wa polepole amini nakubia mkata viuno

Acha kunilisha maneno. Wapi nimesema upasuaji? Una akili tamu.Acha uongo mkuu, Tangu lini Physician anafanya Upasuaji
Daktari atajitetea na askari.ok sawa, mkatoe ushahidi mahakamani sasa na itapendeza zaidi![]()
Hivi askari akija dukani kwako kukupokonya mali yako huku kavaa uniform, anakuwa anatekeleza majukumu yake? Kunyang'anya ufunguo ni moja ya kazi ya polisi?Kumshambulia askari akiwa anatekeleza majukumu yake! Sijui itakuwaje hapo?
Atafungua dispensary yake, sio lazima aajiriwe. Kila mtu anajua athari za kujitoa muhanga lakini haya mamno ili yaishe lazima wachache wakubali hizo shuruba. Bila shaka hata huyu trafiki hawezi tena kurudia tabia yake ya kufokea watu wazima kama watoto na kuchomoa funguo ya gari. Polisi nao wajue binadamu sisi kama walivyo wanyama wengine. Tukifika mwisho wa uvumilivu akili ina-activate jungle mood.he is done, anaenda jela kwa ujinga tu, tanzagiza kila mtu anataka kupiga, kama alikuwa na familia ndiyo hivyo tena.
next time hata wewe yanaweza kukuta, usijukulie sheria mkononi hata kama tanzagiza tunaishi kwa mazoea lkn sheria zipo, kosa kubwa sana kumshambulia na kumpiga law enforcement akiwa kazini kutekeleza majukumu yake, hakuna jinsi anaweza kuchomoka, swali linabakia was it worth it?
kuharibu career yako uliyoisotea kwa tabu na gharama kubwa and all came down to one moment ambapo angeweza kujizuia tu, sasa hata akija kutoka jela udaktari bingwa umeshayeyuka, hakuna atakayeweza kuajiri mtu aliyewahi kuhukumiwa na kufungwa jela, its sad lkn ndiyo hivyo, imeisha hiyo ...
Ila kina Bishanga kwa mataizi?? Hapa ilibidi tujue daktari ni jirani yako bush 😂😂Ninavyoijua familia ya Mwalimu Msitaafu na diwani Msitaafu Mzee Kahyoza pale katani kwetu kishanda, Muleba sio rahisi kwamba anaweza ozea gerezani Man.
Hii ni moja ya familia nzito sana pale kijijini kwetu kabulala. Mother yake amekuwa mwalimu wangu wa hisabati na uraia pale skuli kwetu Ganyamkanda sm miaka hiyo ya 2010.
Hao watoto waliamua mama yao asitaafu ualimu hata kabla ya muda sababu shekeli Ipo, so sio rahisi kusema ataozea gerezan jirani yangu Conrad.
Mzee ana Ng'ombe kwa tathimin ya haraka hakuna mwenye zizi kubwa kama lake pale killage.
Ana Mashamba lukuki ya ndizi aina ya nshakala, na ndizi ya kwenda kuuzaa kama TSH 30k mkungu kwa maeneo ya dsm na mwanza akikata shamba Moja tu uwezo wa kujaza fuso zima anao na ana mashamba ya uhakika.
So sio familia lialia wala njaa njaa.