The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,281
- 49,313
he is done, anaenda jela kwa ujinga tu, tanzagiza kila mtu anataka kupiga, kama alikuwa na familia ndiyo hivyo tena.
next time hata wewe yanaweza kukuta, usijukulie sheria mkononi hata kama tanzagiza tunaishi kwa mazoea lkn sheria zipo, kosa kubwa sana kumshambulia na kumpiga law enforcement akiwa kazini kutekeleza majukumu yake, hakuna jinsi anaweza kuchomoka, swali linabakia was it worth it?
kuharibu career yako uliyoisotea kwa tabu na gharama kubwa and all came down to one moment ambapo angeweza kujizuia tu, sasa hata akija kutoka jela udaktari bingwa umeshayeyuka, hakuna atakayeweza kuajiri mtu aliyewahi kuhukumiwa na kufungwa jela, its sad lkn ndiyo hivyo, imeisha hiyo ...
Angeondokaje wakati funguo za gari zimechukuliwa na huyo askari?
Nakubaliana na wewe maamuzi ya daktari huenda yangeweza kua bora zaidi ya hichi kilichotokea. Hawa askari hua wanapandisha ghadhabu sana.
Mwaka jana December nilikua nawaambia andika faini, ukijibizana nao unawezaingia matatani.
Hata hivyo kama anapelekwa mahakamani, anaweza kushinda kesi.
