JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Penda lakini asilimia kadhaa Baki Nayo mwenyewe!Hawa viumbe wanaweza kukutoa roho!sasa mama kafa,baba anaenda kunyongwa!Omba MUNGU mchana na usiku YASIKUKUTE
Ninawaonea huruma watoto(kama wapo). 😭😭Wazazi wao wamepotea mazingira ya kuhuzunisha mno.Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi
kwa kosa la kumuua aliyekuwa mkewe, Herieth Justine kwa kumchoma na kisu mara tatu.
Hukumu hiyo imesomwa leo na Hakimu mkazi mkuu, Evodia Kyaruzi aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo.
Akisoma hukumu hiyo, Kyaruzi amesema Mahakama imeona hoja zilizotolewa na mshitakiwa wakati akitoa utetezi wake hazikuwa na ukweli.
View attachment 2485112
Amesema kuwa mshitakiwa alidai kuwa alimchoma kisu, Herieth kutokana na hasira alizokuwa nazo kwa kujibiwa maneno ya karaha baada ya kumfumania akiwa anafanya mapenzi na mwanaume mwingine uchochoroni hivyo aliwezaje kuvumilia kumchoma alipokuta akifanya hiko kitendo na amchome kwa maneno aliyokuwa akitoa marehemu?
Amehoji kuwa wakati alipomfumania kulikuwa na purukushani ambayo alidai ilidumu kwa dakika kumi kabla ya mwanaume aliyemfumania kukimbia kwanini hakumchoma mida huo kama alikuwa na hasira.
Pia amesema Mshitakiwa alidai kuwa alimchoma kisu marehemu mara moja lakini ripoti ya uchunguzi wa kitabibu pamoja na maelezo ya shahidi namba tatu ambaye alimshuhudia mshitakiwa akiwa anamchoma kisu pamoja na shahidi namba nne ambaye alikabidhiwa mwili kwa ajili ya mazishi yanaonesha alimchoma kisu mara tatu.
Vilevile alisema kuwa mshitakiwa alidai kuwa marehemu aliteleza katika ganda la ndizi na kuangukia katika kisu ambacho alikuwa amekishika haikuwa kweli.
Hivyo amesema kwa hoja hizo pamoja na ushahidi uliotolewa na mashahidi sita upande wa mashitaka unajitosheleza kumtia hatiani kwa kosa la kumuua, Herieth kwa kukusudia.
Akizungumza Mahakamani hapo baada ya mshitakiwa kukutwa na hatia Wakili wa serikali, Tumaini Maingu ameiomba Mahakama kutoa adhabu kwa mujibu wa sheria na kanuni ya adhabu sura ya ishirini na ishirini na mbili.
Ameieleza Mahakama kuwa Maisha ya binadamu ni zawadi pekee inayotolewa mara moja na ikishapotea haiwezi kurudi tena ndio maana yanalindwa kwa sheria kali kama inavyoelezwa katika vitabu vya dini na Katiba ya nchi katika ibara ya 14 hivyo kitendo cha Dibron ni kukiuka sheria hizo.
Amedai marehemu kaacha watoto watatu na mama ambao walikuwa wakimtegemea na kusisitiza kuwa hukumu haina huruma kwa aiyekiwa na huruma.
Kwa upande wake wakili wa utetezi, Yohana Kibindu ameieleza Mahakama kuwa chanzo cha ugomvi ni wivu wa mapenzi na hauwezi kuwa na wivu kwa usiyempenda hivyo Dibron alikuwa na mapenzi ya dhati kwa marehemu hivyo hakudhamilia kumuua.
Amedai kisu alichotumia kumchoma marehemu hakwenda kukinunua dukani bali kilikuwa ni moja ya nyenzo zake na alikuwa nacho pindi anatoka kazini pia mteja wake ni mgonjwa na anatakiwa kufanyiwa upasuaji wa henia Machi 2 mwaka huu.
Hivyo aliiomba mahaka kumpa mteja wake adhabu nafuu kwani kwa muda aliokaa jela amejigunza na kujutia yote aliyofanya.
Katika kesi hiyo inadaiwa kuwa Machi 11 mwaka 2018 katika eneo la Vingunguti Majengo, Dibron Saidi alimuua anayedai mkewe, Herieth Justine kwa kumchoma kisu mara kadhaa kwa madai kuwa alimfumania na yeye mwenyewe kujaribu kujiua kwa kujichoma na kisu bila mafan
PointHayawezi kukukuta kama ukikuta wamekubandulia afu ukajibeba na kila kilicho chako ukaenda kuanza maisha mapya
Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu haina mamlaka ya kutoa hukumu ya kifoMahakama ya Hakimu mkazi kisutu imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi

Duhh! Lkn bado watu hawasikii kulala na wake za watu.Kuna hili la huyu mgoni oneni anachofanyiwaView attachment 2484918
🤣🤣🤣🤣Huu mwaka utakuwa mrefu sana
Bila shaka ni mgogo huyu.Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi

Kuuliwa unaweza mkuuMi siwezi ua wala kuuliwa kisa mapenzi, pesa.
Utadeal na kitanziHiyo akili ikija huwa ni too late
Wengi sn wanauwawa behind the sceneHalafu kuna mwamba anakuambia "nitakuua bila kuacha ushahidi"
Neno[emoji3578]Mwanamke ukihisi hujaacha umalaya usiolewe
... unamaanisha itungwe sheria I hope; otherwise serikali haiwezi kuchukua hatua bila uwepo wa sheria ya kuwezesha hilo. Mchakato wa utungaji sheria huhusisha jamii kutoa maoni yao; tatizo mkiitwa kutoa hayo maoni huwa mnasema mko bize! Mchakato ukianza ukatoe maoni!Ifikie hatua serikali iwachukulie hatua wanaotembea na wake za watu Ili Watu wapate pa kushtaki, Hapa aliefumaniwa keshajiona mshindi[emoji3525]
Umemaanisha kweli hili?Mwanamke ukihisi hujaacha umalaya usiolewe
Mkuu mimi spingani na hivyo visasi, ila visasi vya kutotumia akili kama huyo jamaa ndo naonaga ni ujuha uliopitiliza. Why usimalizane na mgoni wako kimyakimya mpaka urekodi, watu kibao washuhudie.Nakubaliana na wewe. Jamaa hawakutumia akili na mbaya zaidi walijirekodi jinsi wanavyofanya. Pia nakubalina na wewe kuwa mkosaji namba moja ni mke. Ila nakukuhakikishia kama ni mimi, mke nita deal naye, baada ya mgoni kupata haki yake. Sasa wewe kama unadhani kuonyesha uchi wa mgoni ni udhalilishaji basi acha kutembea na wake za watu. Na usiposikia jua hakuna siri duniani. Kuna siku utashikwa. Na ukishikwa ''jicho'' lazima ligongwe na baadae mke atatimiliwa ili upate nafasi ya kumfaidi vizuri.
Yes ndo kama ivo mkuu.Hii nilihadithiwa: Jamaa mmoja alipata habari kuwa mke wake anachepuka. Jamaa huwa anasafiri mara kwa kwa mara. Mbaya zaidi ni kuwa huyu mgoni wake huja kulala nyumbani kwake. Akaenda kuchukuwa marafiki zake wanaoishi mbali na pale alipo. Akajifanya anasafiri. Usiku wakavizia wakaona yule bwege anaenda kulala kwa jamaa kama kawaida. Kumbe alikuwa ame-set na house girl wake ikifika usiku mnene afungue makomeo yote ya mlango kwa ndani. Usiku kikosi cha ''unyama'' kikaingia kikiwa na funguo walizopewa na jamaa. Yeye hakwenda kabisa. Wakanyata mpaka ndani wakafungua mlango wa chumbani ghafla. Hamad, wakamweka yule bwege chini ya ulinzi. Wakamlawiti sana huku wanachukuwa video. Wakajifanya kuiba na baadhi ya vyombo wakaondoka navyo. Kwa kifupi wali-act kama vibaka.
Yaani inanikera nikiona mke anachepuka na siwapendi Kuna group nipo Yaani kachepuka anaomba mbinu Ili mmewe asigundue wakati wa kula mzigo maana alikua safari anarudi Sasa,Yaani kaka alishauriwa ila kichambo alikipataNeno[emoji3578]