100% I hate cheating heshima ya Mme ni mke mwenye kujitambua,kizazi chetu elimu badala itusaidie inazalisha wanawake tusojua thamani ya maishaa ya ndoa,uzinzi Kwa Sasa wanawake wa ndoani ni Malaya kuliko walokua nje Yaani humo makazini,mabodaboda n.k wanawake wanaziniwa hovyoo mnooo Tena Kwa Bei rahisi ukute mmewe anahudumia 100% ila kisa tu umbali anakubali kuziniwa na kibodabodaUmemaanisha kweli hili?
Usiongee mambo usioyajua mkuu.Tafuta taarifa kidogo basi kabla ya ku postHizi hukumu hewa, hukumu jina tu, eti kunyongwa hadi kufa,
hukumu ambazo hazijawahi hata kutekelezwa, ni wakati sahihi zifutwe tu, ni kuogopesha watu tu kunyongwa hadi kufa huku uhalisia uliopo hiyo ni adhabu ya kifungo cha maisha tu..
Maana waliohukumiwa kunyongwa adhabu hizo hazijawahi kutekelezwa hata mara moja kama wenzetu saudia. Gerezani wanaishi kama peponi! Hawafanyi Kazi yoyote ila hawaonani na binadamu yeyote....nadhani huo upweke wanaokuwa nao unawatosha.
Punguza ujuaji! Sio kila post lazima uchangieUsiongee mambo usioyajua mkuu.Tafuta taarifa kidogo basi kabla ya ku post
Hawa jamaa jela inawaita wanafungwa asubuhi na ushahidi. Haya mambo unafanya bila ushahidi no video no audioKuna hili la huyu mgoni oneni anachofanyiwaView attachment 2484918
Sheria ya ndoa inakataza hilo suala , ikitokea ukashtakiwa na ikathibitishwa mahakamaniSheria haikatazi kufanya mapenzi na mke au mume wa mtu; iko very silent kwenye suala hilo. Actually ni haki yako mkikubaliana. Ukimfumania mkeo au mumeo kuna taratibu za kufuata na sio kuua, kupiha, au kulawiti. Kutenda hayo ni kinyume cha sheria na ustahili adhabu kali.
Touching- unajua ukioa inakuwa umepata mwanamke au mke.100% I hate cheating heshima ya Mme ni mke mwenye kujitambua,kizazi chetu elimu badala itusaidie inazalisha wanawake tusojua thamani ya maishaa ya ndoa,uzinzi Kwa Sasa wanawake wa ndoani ni Malaya kuliko walokua nje Yaani humo makazini,mabodaboda n.k wanawake wanaziniwa hovyoo mnooo Tena Kwa Bei rahisi ukute mmewe anahudumia 100% ila kisa tu umbali anakubali kuziniwa na kibodaboda
Kuna mdada kazini kwetu mmewe anahudumia 100%anampenda n.k ila Sasa kutwa kusifia vitoto vidogo vya kiume Yaani yule kaolewa tu Kwa kua mwanaume ana pesa ila hampendi mmewe daahh huzuni sanaa
hahaha nimecheka kiboya sanaVilevile alisema kuwa mshitakiwa alidai kuwa marehemu aliteleza katika ganda la ndizi na kuangukia katika kisu
yote haya anaweza yaepuka kwa kukataa ndoaKwani alipost uchi wa mke wa jamaa??
Sasa hiyo kumrekodi ndio itamfanya mkeo aache kupigwa pipe nje??
Kama unataka kuiridhisha nafsi yako kwa kisasi panga kiakili basi sio kwa hasira na kukurupuka kama huyo mwehu hapo kideoni. Huo ni udhaifu mkubwa sana kwetu sisi wanaume. Umechapiwa unaacha kudeal na mkeo au kucheal utulize akili eti unakazana sijui kumlawiti mgoni hadharani, kumuua, kumdhalilisha kama hivo n.k. kitu ambacho mwisho wa siku wewe utaishia lupango
[emoji28][emoji28] miyeyushoAisee kumbe wamemnanihii mchana kweupe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu jamaa aliye fumaniwa ni boya sana pia amekaa kindezi sana , nilivyo ona hii video kuna makosa mengi wamefanya hao walio mshika na angeweza kutoroka bila shida na pia kuna nafasi aliachiwa angeweza hata kunyang'anya panga angekuwa anataka kuonyesha uwezo. Kitu kinacho tuangusha watu wengi hatujui self defense.Kuna hili la huyu mgoni oneni anachofanyiwaView attachment 2484918
Naimani umeoa mke na Mungu awape amani furaha na upendo wa kweliTouching- unajua ukioa inakuwa umepata mwanamke au mke.
Ukioa mwanamke ndiyo kama huyu Mke wa jamaa hapo ofisini.
Ukioa Mke basi ndiyo hao wenye kujua nini maana ya ndoa na kutulia kulea ndoa ,mume na familia kwa ujumla.
Kongole kwa wanaume wote walioa mke badala na pole yetu wengine tulioa wanawake.
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mwanamke ukihisi hujaacha umalaya usiolewe
Sikatai nitaoa.yote haya anaweza yaepuka kwa kukataa ndoa
JATAA NDOA
KIJANA USIOE
Aisee!!Punguza ujuaji! Sio kila post lazima uchangie
ILI kuonekana unajua ambacho hukijui!
Nimekulia magereza, nimesomea na kuishi quarters za magereza..
Baba yangu yangu mkubwa akiwa cheo kikubwa tu....katika moja ya hayo magereza yanayohifadhi wahukumiwa wa kunyongwa.
Nikiwa miongoni mwa vijana wenye nidhamu kuliko vijana wake, maana nilikuwa yatima, alikuwa zaidi ya rafiki kwangu tulipiga story nyingi mno nazijua ambazo huzijui na pengine hutakuja kuzijua kamwe! Kuhusu hawa wafungwa wanaohukumiwa kunyongwa....
Wakati mwingine ni hekima kukaa kimya, kuliko kuonekana unajua ambacho hukijui....na wengi tu hawajui maisha ya hao watu gerezani.
Thamani ya maisha ya binadamu ni uhuru.Hizi hukumu hewa, hukumu jina tu, eti kunyongwa hadi kufa,
hukumu ambazo hazijawahi hata kutekelezwa, ni wakati sahihi zifutwe tu, ni kuogopesha watu tu kunyongwa hadi kufa huku uhalisia uliopo hiyo ni adhabu ya kifungo cha maisha tu..
Maana waliohukumiwa kunyongwa adhabu hizo hazijawahi kutekelezwa hata mara moja kama wenzetu saudia. Gerezani wanaishi kama peponi! Hawafanyi Kazi yoyote ila hawaonani na binadamu yeyote....nadhani huo upweke wanaokuwa nao unawatosha.
Huwezi kuua kwa ajili ya mapenzi, lakini wewe waweza kuuliwa kwa ajili ya mapenzi.Mi siwezi ua wala kuuliwa kisa mapenzi, pesa.