Dar es Salaam City in Photos

wakati umeme bado upo, sijui lini hapa


HII PIC NZuri Sana ila mie bado magorofa ya Kariakoo hasa wanaokaa juu kabisa kuweka Madirisha Ya Vyumbani Nondo ya uzio wa Dirisha bado sielewi kabisa Je Moto ukitokea nah uko juu sizani kama mwizi anaweza kufika... na yalivyogandana labda kwa wale waibiana Wake na Mume ndio haya magorofa watayapenda anadumbukia tu dirisha la pili bila kupitia mlango wa mbele Kibingwa anaruka tu ubavuni tehtehteh.
 

haha, mkuu umenifurahisha, kama nondo hadi huko juu sidhani hata kama hao wanaoibiana wake na waume wanafanya kazi hiyo kwa unafuu wowote, labda chabo tuu, teh teh, vitendo ni ngumu, yaani baada ya kuongelea mambo hayo na kujikuta sio rahisi yaani kama vile uko antactica halafu kuna uwezekano wa kula chakula cha usiku lakini huwezi kwa sababu huwezi kua uchi kule, ni baridi, teh teh
 
mandela road dar es salaam



 
JIJI CHAFU Sana hili! Hizo Picha mngepiga na za mitaani!
 
viwanja vya tanganyika kulee, stunt za kufa mtu, damn i love these things




















 
0]On the left is Viva tower...topped out (won't go higher) btw these bungalows within the fence with ashok trees will be demolished soon to pave way for a 30 storey residential tower.construction planned to start Jan 2012.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…