Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati umeme bado upo, sijui lini hapa
![]()
HII PIC NZuri Sana ila mie bado magorofa ya Kariakoo hasa wanaokaa juu kabisa kuweka Madirisha Ya Vyumbani Nondo ya uzio wa Dirisha bado sielewi kabisa Je Moto ukitokea nah uko juu sizani kama mwizi anaweza kufika... na yalivyogandana labda kwa wale waibiana Wake na Mume ndio haya magorofa watayapenda anadumbukia tu dirisha la pili bila kupitia mlango wa mbele Kibingwa anaruka tu ubavuni tehtehteh.


