Dar es Salaam City in Photos


Hivi pale Jangwani, Mwananyamala, Buguruni na Manzese sio sehemu ya jiji? Tuwekeeni na picha za uwanja wa fisi na kwa Mtogole jamani!!!
 
Hivi pale Jangwani, Mwananyamala, Buguruni na Manzese sio sehemu ya jiji? Tuwekeeni na picha za uwanja wa fisi na kwa Mtogole jamani!!!

typical mbongo, kwa nini tunaweka picha kama hizi katika forums hizi, ni kuonyesha kuwa nchi za dunia ya tatu pia kuna miji inayokua, hayo maeneo uliyotaka huwezi kushindana na watade ambao walianza kuonyesha toka zamani na ndio maana watu wengi wanajua africa ni misitu tuu na slums, tena wapo wanaoamini ukitoka nje tuu unakutana na simba, hebu niambie wewe mwenyewe umewahi kuona mnyama yeyote wa msituni ? zaidi ya nyao na ngombe tunaofuga, hatufanyi makosa kuonyesha maeneo haya, kwa mwenye upeo anajua,m ndio maana hata title ya thread hii ilikua kwa kiswahili lakini imebadilishwa kua ya kiingereza, huwezi kushinandana na BBC, CNN, AL JAZEERA kuonyesha manzese , uwanja wa fisi, Anyway, hayo maeneo naona unayajua sasa tukuwekee hapa ya nini? angalia katika forum za mataifa mengine, unakuta mtu anaongelea nchi yake kama ni moja ya nchi iliyoendelea, prpaganda tupu, hizi propaganda hata kama si za kweli zinatuumiza sisi tuliokaa kimya, hivyo basi hapa tunajaribu kuonyesha upande mwingine wa africa yetu, sio ile ya mahema , njaa ukimwi na vita.
 
Ili kufahamu kama jiji linakua kwa kasi, tuchukue picha kutoka kila upande wa Dar es salaam yaani Manzese, Mburahati, Mbagala kiburugwa, Kawe Mzimuni, Gongo la mboto, Kipunguni, Pugu kwa lala na maeneo mengine mengi. Ukionyesha city centre utawa-mislead watu na kuamini Dar ni ghoroga tupu. Hapo mwaonaje?
 
Ps unaweza kupost na wewe pia, na hakuna jiji duniani lililo na maghorofa tuu na hakuna asiyejua majiji ya duniani ya tatu kuwa yamejaa slums na ni machafu,





these aerial photos give a true picture why we have so much congestion on DSM roads...no ring roads on the periphery of the cbd.Jangwani should have been with many fly-overs connecting upanga/kinondoni/magomeni/mchikichini/kariakoo/ilala/kigogo/fire...or atleast a ring road on the border of jangwani crossing all these locations...literally a ring road around jangwani and having outlets at various junctions.
 
wadau pia mnaweza kupost picha zenu, na sio mnaagiza tuu post picha flani, teh teh, hadi tujuteee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…