Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Uko wapi mkuu nikuuzieVipi, sukari imeshapatikana? au niendelee kubugia hii asali yangu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko wapi mkuu nikuuzieVipi, sukari imeshapatikana? au niendelee kubugia hii asali yangu..
Rais anatakiwa kupumzishwa.Kawaida yake Jiwe,atawasingizia tena mabeberu.
Haohao wameleta barakoa mbaya, vifaa vibovu vya maabara.
Wametoa mafunzo mabaya kuhusu corona.
Asipokaa chini na kujitafakari ataishia kuwashika uchawi wote wenye mitazamo tofauti. Wenye ujasiri wa kusema maoni yao.
Ila kilicho dhahiri ni kuwa; hayo ni maandishi yaliyo ukutani.
"Aliingia na uhaba wa sukari ataondoka kama alivyokuja, na uhaba wake". AMEN.
Nipo huku nanihii...
Siumwambie tu upo Saranga kijichiNipo huku nanihii...
Mpumuzishe mama yako! Amezaa sana!Rais anatakiwa kupumzishwa.