Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

Una Hela wapo mpk 20k
Sasa hiyo atafanyia nini?

Or basic needs kama ped nguo hela kidogo ya kutuma kwao anakuwa anapewa na muajiri?wakati mwengine mabosi ndiyo wanasababisha hata hawa mabinti wanafanya vitu vya ajabu kwa watoto wao refer lile tukio la mtoto kuuawa maeneo ya Mbezi mwaka jana.

Unampa mtu anakupikia anakufulia anakuangalizia watoto elfu ishirini kwa mwezi hapo bado hujamtukana ni mshamba wakati gari yako budget mafuta tu ni laki nne?huo ni utani na ni umaskini.
 
Beki tatu Kama beki tatu........
anakaba kila sekta, kufua, usafi, watoto, chakula, hapo bado ile huduma kumpa baba utamu wa mbususu......

wakati hela zilizo saidia kununua mahitaji zilitoka kwa baba.... 🙃😁
 
Binti unakaa naye bila kumlipa ili iweje wanawake wajanja wajanja sana


Unampa mtu mshahara wa 70 hivi mtu anatoboaje ebu acheni unyonyaji watangayika H.girl mpe kuanzia 150k
 
Na mwajiri kakiri kabisa, labda hali mbaya sana.
 
Umemaliza mkuu.. Huu mtego wa kusema umtunzie helaa aisee ni hatariii...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…