Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Ninachokishuhudia hapa benjamini mkapa ni rekodi ya aina yake kwa nyomi ya mashabiki waliojazana hapa, na bado barabara ziko bize uelekeo ni benjamini mkapa, hakika ni mechi ya kihistoria,
Serikali walipaswa kufungua mageti kuanzia saa 2 asubuhi ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea hapa, watu ni wengi sana kila mmoja akitaka kuweka historia ya kushuhudia fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Afrika, hii hali iliyopo hapa sio nzuri kuendelea kuwaweka mashabiki nje ya mageti mpaka sasa na watu wanazidi kuongezeka,
Taasisi zinazohusika zifanyie kazi hii kitu haraka kuepusha maafa hii aijawai kutokea tokea nimeanza kushuhudia mechi za kimataifa hapa Tanzania