Dar es Salaam imeitika na Tanzania imesimama, Mageti yafunguliwe isije kuleta maafa mengine

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Ninachokishuhudia hapa benjamini mkapa ni rekodi ya aina yake kwa nyomi ya mashabiki waliojazana hapa, na bado barabara ziko bize uelekeo ni benjamini mkapa, hakika ni mechi ya kihistoria,
Serikali walipaswa kufungua mageti kuanzia saa 2 asubuhi ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea hapa, watu ni wengi sana kila mmoja akitaka kuweka historia ya kushuhudia fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho barani Afrika, hii hali iliyopo hapa sio nzuri kuendelea kuwaweka mashabiki nje ya mageti mpaka sasa na watu wanazidi kuongezeka,
Taasisi zinazohusika zifanyie kazi hii kitu haraka kuepusha maafa hii aijawai kutokea tokea nimeanza kushuhudia mechi za kimataifa hapa Tanzania
 
Enzi za Manji ilikuwa free pia watu walijaa asubuhi tu
 
Alafu msukuma akidharau wasomi tunamnanga, yani hii nchi hakuna kwenye afadhali, suala la kuweka mpangilio mzuri lilitakiwa liwe limeshajadiliwa na Uongozi wa Yanga, TFF, na wilaya ya temeke, ila kama hamna hata mmoja alieliona hilo swala wanasubiri muda uende wakijua kabisa kuna maafa huwa yameshatokea kama hao niliowataja hapo juu sio hawatumii bongo zao vizuri maana yake ni nini.
 
Naangalia kipindi cha Sports AM kinachorushwa na Azam Sports 1,
anahojiwa Rais wa TFF Karia kuhusiana na kuchelewa kufunguliwa mageti ya
uwanja wa Benjamin Mkapa, ambapo watu ni wengi sana na wapo nje kiasi
amani inaanza kuvurugika.

Rais anajibu kwamba yeye hausiki na suala hilo na lipo chini ya maafisa wa
CAF na afisa wa TFF anayeshirikiana nao watu wa CAF, kwa hiyo yeye hajui chochote
walichokubaliana wala walichopanga.

Majibu haya kwa mtu anayesimamia chombo cha mpira si sahihi. Hata kama yeye hayupo
kwenye hiyo kamati ya usimamizi anawajibu wa kujua walichopanga, hata kushauri.

Kwamba unaona kabisa kuna hali ya mvurugiko nawe kama kiongozi wa Mpira unasema huusiki.
Kwa hiyo unasubiri mambo yaharibike kisha zigo wapewe wengine.

Tanzania imetia nia ya kuandaa michuano ya mataifa ya Afrika, sasa kama mechi ya fainali
Rais anajitoa na wala haoneshi kutaka kutatua tatizo kweli tunaweza kupewa hiyo nafasi?

Viongozi wetu hupenda kujiweka mbele kwenye mafanikio hata kama sio yao, lakini
panapotokea changamoto wajifanya kutohusika.
 
Alafu msukuma akidharau wasomi tunamnanga, yani hii nchi hakuna kwenye afadhali, suala la kuweka mpangilio mzuri lilitakiwa liwe limeshajadiliwa na Uongozi wa Yanga, TFF, na wilaya ya temeke, ila kama hamna hata mmoja alieliona hilo swala wanasubiri muda uende wakijua kabisa kuna maafa huwa yameshatokea kama hao niliowataja hapo juu sio hawatumii bongo zao vizuri maana yake ni nini.
Duuh
 
Usomi muda mwengine usipofikiri sana ni utumwa wakipumbavu!..😂
 
Back
Top Bottom