Uchaguzi 2020 Dar es Salaam imepatwa na nini? Mbona mpo tuli?

Dar sisi tumeshamaliza kazi, tunasubili tarehe tu ya kuinyonga ccm.
 
Mwizi anakimbizwa kimya kimya
 
Mbona tulijibu viwanja vya Zakhem

Nunuliwa nunuliwa ya wanasiasa imeonesha mielekeo ya vyama tulivyo navyo sasa, tunasubiri CHAUMA kiote maziwa (chuchu) tujaribishe hao mnaowashangilia huko mikoani tunao hapa hata ofisi zao zingine ni chumba na sebule ruzuku wanatafuna tu
 
Mikoani wengi limbukeni Dar wameshaona uelekeo wa upepo hawajisumbui matokeo yameshajulikana mapeema
 
Dar hali ni ngumu kuliko maelezo, biashara nyingi zimefungwa, sehemu za starehe hazina watu, wengi tunahangaikia familia zetu kwa taabu sana. Suruhisho la haya teamua kukaa kimya kungojea siku ya siku kuonyesha hasira zetu kwenye sanduku la kura
 
Hivi lile nyomi lililoenda kumpokea mwamba airport alivyorudi toka ubelgiji,mnataka nini tena,au walitoka mikoani?,jiji lilisimama.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…