share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Nini hii tena? Wewe Diwani unataka kuleta ujinga gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini hii tena? Wewe Diwani unataka kuleta ujinga gani?
Dar sisi tumeshamaliza kazi, tunasubili tarehe tu ya kuinyonga ccm.Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Hahah nini kimekukuta mkuu.?Mimi siwezi kufanywa fala na CCM.nimechoka Kura yangu ni tundu lissu mtake msitake nimemaliza
yesu yupi?Watashindwa na kulegea kwa Jina la Yesu
Mwizi anakimbizwa kimya kimyaKama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Lowassa ana watoto wawili tu wa kike Adda na Pamela, huyu jane sijui anatokea wapi labda kwenye ukoo hukoWewe ni binti wa Mh Lowasa aka gray hair?
Dar hali ni ngumu kuliko maelezo, biashara nyingi zimefungwa, sehemu za starehe hazina watu, wengi tunahangaikia familia zetu kwa taabu sana. Suruhisho la haya teamua kukaa kimya kungojea siku ya siku kuonyesha hasira zetu kwenye sanduku la kuraKama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Ccm baba aoo
Kura ni siriMimi siwezi kufanywa fala na CCM.nimechoka Kura yangu ni tundu lissu mtake msitake nimemaliza