Uchaguzi 2020 Dar es Salaam imepatwa na nini? Mbona mpo tuli?

umechelewa sana kutambua hili mkuu.....mimi nikisimama foleni ya kumpigia mtu kura ,ujue nina mmudu hata nikitaka kumtafuta lazima awe amenitambua na asinisumbue kama boya
 
Tatizo kura ni siri.....na watu wengi siku hizi wanazijua hizo techniques ....tusubiri
 
Dar ni moto wa pumba, ngoja Jiwe aweke miguu yake,akifikifi poa, akutane na yaliyompata Side mnyamwezi!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Hamna kitu kina uma watu hadi leo hii kama tukio la LOWASSA kuachia

watu manyoya,yani upinzani ungekua na nguvu ile ile ya 2015 kama babu

asingewaachia manyoya,hiyo ndio sababu namba 1 ya raia kukinai siasa za upinzani

kuna JIJI lilimsimamia kidete lowassa kama DAR,kuna jiji gani eti? Lowassa

alipiganiwa na wana DAR bodaboda,machinga,wafungwa,mahabusu,aseee acha kbsa

ila ndio hivyo akafanya alichofanya,sasa mwana dar Gani leo ataacha anachofanya

ampganie mtu ambae wanajua 2023 atahama chama kwa kusema "kastaaafu siasa",NO NO NO NO.....
 
Dar hali ni ngumu kuliko maelezo, biashara nyingi zimefungwa, sehemu za starehe hazina watu, wengi tunahangaikia familia zetu kwa taabu sana. Suruhisho la haya teamua kukaa kimya kungojea siku ya siku kuonyesha hasira zetu kwenye sanduku la kura
Sema wewe huna hela, usiwasemee wengine, fanya kazi kwa bidii utapata pesa
 
Hivi lile nyomi lililoenda kumpokea mwamba airport alivyorudi toka ubelgiji,mnataka nini tena,au walitoka mikoani?,jiji lilisimama.
.
Nyomi anazopata Lisu hazifiki hata nusu nyomi alizokua anapata Lowasa kila mtu hili analijua
 
Kimya kingi mshindo Mkuu,Watu wako kimya lakini wana jambo lao Okt 28.
 
Subiri Tarehe ya kupiga kura ujionee Siri ya huu ukimya... Kuna watu wanahasira za ndani hatari...
 
Dar tumechanganyikiwa baada ya ccm kuhamishia makao makuu ya nchi dodoma na kuacha majengo matupu huku tukiambiwa hili ni jiji la biashara kumbe kulikuwa jiji la kupiga dili. Ccm dar haipati kura hata moja.
 

watu wato kimyaa wansubiri tarehe 28 wakapige kura za kujikomboa.
 
Wenye akili wamepewa madaraka
 
Ethiopia Nchi yenye Ndege zaidi ya 120 kuliko Tanzania, Ethiopia ina Flyovers kuliko Tanzania, Ethiopia ina Tren ya Mwendo kasi kuliko Tanzania, Lakini Leo hii Waethiopia 28 na Wasomali 4, Wamekamatwa Wilayani Pangani, Wakijaribu kutoroka kwenda Kujitafutia Maisha Nchi za Kusin

Halafu maccm yanajisifu bila aibu, fyoko fyoko fyoko ndegeeeeee
 
CCM baba laoo
Kipindi cha 2015 watu walikuwa na laki sio pesa ndio maana oyaoya ikawa juu kipindi hiki leo afadhali ya jana kila mtu anapambana na hali yake tahadhari msichukulie pouwa watu wanajua wanacho kifanya tarehe 28 wataamua mitano tena au mitano kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…