Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
mapema mnoTujitahidi kupiga kura tarehe 28 Oktoba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mapema mnoTujitahidi kupiga kura tarehe 28 Oktoba
umechelewa sana kutambua hili mkuu.....mimi nikisimama foleni ya kumpigia mtu kura ,ujue nina mmudu hata nikitaka kumtafuta lazima awe amenitambua na asinisumbue kama boyaTuko busy na mambo yetu, ni uboya kupoteza muda kumpa mtu ulaji, mwaka 2015 saa 12 niko kwenye foleni kumpa ulaji mbunge wangu, hajui na hatajua nilishinda juani kwa ajili yake,akawa anatupita barabarani hata salam hatoi, sitarudia tena kupoteza muda kufanywa ngazi ya mtu
Tatizo kura ni siri.....na watu wengi siku hizi wanazijua hizo techniques ....tusubiriKwa maoni yangu naona dar imepigwa sana makombora yale ya kuunga juhudi, takribani majimbo matatu kati ya sita yalidhurumiwa sauti ya wananchi. Hali hiyo imeleta ganzi kwa wananchi wasijue cha kufanya. Waliowengi wanahitaji mabadiliko lakini wanaoaminiwa wanasaliti wananchi. La pili suala la kuwaacha machinga na lenyewe limechangia jiji kutokuwa na vuguvugu. Yani ile mtu akikumbuka adha ya kukimbizana na mgambo anaona serekali hii ni bonge la bahati. Pia kuana suala la usalama, dar kwa sasa maji na bidhaa zote tunazouza barabarani, zinalala palepale na hakuna udokozi kama zamani. Hata issue za kukabana kabana imepungua sana.
Dar ni moto wa pumba, ngoja Jiwe aweke miguu yake,akifikifi poa, akutane na yaliyompata Side mnyamwezi!Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Sema wewe huna hela, usiwasemee wengine, fanya kazi kwa bidii utapata pesaDar hali ni ngumu kuliko maelezo, biashara nyingi zimefungwa, sehemu za starehe hazina watu, wengi tunahangaikia familia zetu kwa taabu sana. Suruhisho la haya teamua kukaa kimya kungojea siku ya siku kuonyesha hasira zetu kwenye sanduku la kura
Nyomi anazopata Lisu hazifiki hata nusu nyomi alizokua anapata Lowasa kila mtu hili analijuaHivi lile nyomi lililoenda kumpokea mwamba airport alivyorudi toka ubelgiji,mnataka nini tena,au walitoka mikoani?,jiji lilisimama.
.
Siri itafichuka october'28 macho yasije kuwatoka.Sisi kula zetu za sirisiri mkuu.. Tunajambo letu subiri uone
Dar tumechanganyikiwa baada ya ccm kuhamishia makao makuu ya nchi dodoma na kuacha majengo matupu huku tukiambiwa hili ni jiji la biashara kumbe kulikuwa jiji la kupiga dili. Ccm dar haipati kura hata moja.Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.

Sasa hii Proforma invoice inahusikaje hapa?Sema wewe huna hela, usiwasemee wengine, fanya kazi kwa bidii utapata pesaView attachment 1585490
Wenye akili wamepewa madarakaKama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Utakuwa unafanya kazi nyumbani kwa wahindiSema wewe huna hela, usiwasemee wengine, fanya kazi kwa bidii utapata pesaView attachment 1585490
Ethiopia Nchi yenye Ndege zaidi ya 120 kuliko Tanzania, Ethiopia ina Flyovers kuliko Tanzania, Ethiopia ina Tren ya Mwendo kasi kuliko Tanzania, Lakini Leo hii Waethiopia 28 na Wasomali 4, Wamekamatwa Wilayani Pangani, Wakijaribu kutoroka kwenda Kujitafutia Maisha Nchi za KusinKama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Kipindi cha 2015 watu walikuwa na laki sio pesa ndio maana oyaoya ikawa juu kipindi hiki leo afadhali ya jana kila mtu anapambana na hali yake tahadhari msichukulie pouwa watu wanajua wanacho kifanya tarehe 28 wataamua mitano tena au mitano kwanzaCCM baba laoo
Wapi si majina tu wewe ukijiandika kikwete humu ndani ni jina la kweli si tunajiandikia tuWewe ni binti wa Mh Lowasa aka gray hair?