Mkuu hujatuchota hapa?Hali ya hewa pia huchangia....
Jotoni watu hula kiduchu
Baridini watu hufukia sana
Kipimo Kiaje mkuu? Hapo umeniacha kwenye mataaaAina ya kipimo
We mgeni ndio umeongea nn sasa 😹😹😹Mapishi nayo yanachangia. Kuna mtu anapika nusu kilo ya mchele mnakula watu wanne na mnashiba vizuri na kunaweza baki.
Wengine wameenda mbali wanahusisha na roho ya mtu, mara ukarimu. Mambo ni mengi hapo.
Ni kama ilivyo kuna mtu akipika chakula kinaweza kukaa hadi siku mbili kisiharibike ila mwengine kikilala tu kishaharibika.
Mvurugano tu ndugu yangu. Wewe hujawahi kupewa wali kibakuli ukajikuta umeshiba ndiii!!!. Au ila mboga nayo inachangia eti ee?.We mgeni ndio umeongea nn sasa 😹😹😹